Guardiola Afikisha Pointi 500

Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kufikisha pointi 500 kwenye ligi kuu ya Uingereza, mapema zaidi kuliko kocha yeyote kwenye ligi kuu hiyo baada ya kutoka sare 1-1 na klabu ya Southampton siku ya jumamosi.

Japokuwa Man City haikufanikiwa kushinda mchezo huo ila kwa Guardiola kulilkuwa na jambo ambalo lilikuwa la kushangalia kufanikiwa kufikisha pointi 500 kwenye michezo 213 akiwa kama kocha wa Man City.

Makocha wengine amabo waliweza kufikisha pointi 500 kwenye michezo michache ni Jose Mourinho michezo 231, Jurgen Klopp michezo 236, Sir Alex Ferguson michezo 242, Arsene Wenger michezo 249 na Rafa Benitez michezo 267.

Makocha waliofikisha pointi 500 wakiwa na michezo zaidi ya 300 ni David Moyes michezo 340, Martin O’Neill michezo 351, Mark Hughes michezo 367, Sam Allardyce michezo 386, Harry Redknapp michezo 392 na Steve Bruce michezo 441.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe