Guardiola Atoa Tamko Garcia Kusepa

Eric Garcia anaweza kuondoka mapema baada ya kumaliza mkataba wake au baada ya kumwambia Guardiola kuwa hahitaji kusaini mkataba mwingine.

Nyota huyu ambaye mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu, amekuwa akihusishwa zaidi na kujiunga na klabu ya Barcelona.

Kwa mujibu wa Guardiola, wakati akizungumza na vyombo vya habari katika maandalizi ya kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid, amesema kuwa mlinzi huyu amekataa ofa iliyowekwa mezani ya kusaini mkataba mpya kusalia Etihad Stadium.

“Ametuambia kuwa hataki kuongeza mkataba na Manchester City. Ana mwaka mmoja zaidi, tunataka aongeze, lakini hataki kuongeza mkataba.”

Garcia amewachezea Manchester City mechi 22 kwa michuano yote tangia alipojiunga mwaka 2017. Zamani amewahi kutumia mda wake katika Akademi ya Barcelona ya La Masia.

 


 

Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

43 Komentara

    Nadhani Eric García anataka timu itayomupa nafasi kubwa ya kucheza #meridianbettz

    Jibu

    Maisha popote mwache aende tu.

    Jibu

    Kama hataki kubaki aende tu

    Jibu

    Bola akataft new challenge

    Jibu

    Bola aende tu

    Jibu

    Ni kheri aende tuu

    Jibu

    Bora aende maisha popote kijana.

    Jibu

    Mwache aende akatafute nafasi nyingine

    Jibu

    Kambi popote aangalie maslah tuuu!!!

    Jibu

    Eric Garcia anatakiwa atafute timu itakayompa namba na jina coz Garcia n bonge la mchezaji

    Jibu

    Ni vzr

    Jibu

    Kokote kambi kikubwa masirahi yawepo

    Jibu

    Sawa, maisha popote ,labda atakuwa kifua mbele Zaid akiwepo Barcelona.

    Jibu

    Ni Jambo zuri kutafuta malisho sehemu nyingine

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Maisha popote mwache aende tu#Meridianbettz

    Jibu

    garcia angepata timu yenye viwango vya juu ingekuwa vyema zaidi ili aweze kupata uzoefu zaidi

    Jibu

    Garcia ni mpambanaji mzuri anaweza kupata sehemu yoyote

    Jibu

    Bora akatafute maisha mapya

    Jibu

    Bora aende tuu

    Jibu

    Kama hataki wamwache aende tu kambi popote mradi tu kuwe na maslai
    #meridianbettz

    Jibu

    Aende tuu#meridianbettz

    Jibu

    Kama hataki muacheni aenda msipende kukumbatia miba labda anataka sehemu ambayo inamafanikio zaidi ili iwe rahisi kwao

    Jibu

    Sio mbaya acha aende

    Jibu

    Kama ndo kaamua Ivo bc muacheni.

    Jibu

    Clabu kama clabu hinapata huwamuzi mgumu pindi mchezaji hanapotaka kuondoka klabuni hikiwa bado wanaitaji huwepo wake

    Jibu

    Kama kaamua mwacheni aende

    Jibu

    Nibora aendetu

    Jibu

    popote kambi kikubwa maslai tu

    Jibu

    Game time imekuwa shida kwa kijana anahitaji team atakayocheza kila siku

    Jibu

    Maisha kokote kapambane jembe

    Jibu

    Popote kambi

    Jibu

    Kila lakheri aendako.

    Jibu

    maaumz ake wach aende

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi kuondoka hama kubaki

    Jibu

    Garcia asepe tu

    Jibu

    Fresh tu akisepa

    Jibu

    Yeye ndio ataamua wapi akae

    Jibu

    Aendezake tu!

    Jibu

    Huyu amekumbuka nyumban tuu na ndio wachezaj wa kispain walivyo wanapenda kurud kucheza.ligi ya nyumban

    Jibu

    Hapa Garcia ameangalia future yake kwani City imeonyesha dhahiri kutokuwa na future na mchezaji huyu ata amekuwa hapati muda mwingi wa kucheza kwahiyo uwamuzi wake ni sahihi kabisa

    Jibu

    Kila la kher maisha popote

    Jibu

    Kwa nini sasa anakataa au maisha magumu kama kwa Yanga

    Jibu

Acha ujumbe