Guardiola: Garcia Anahamia Barcelona

Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola anatumaini kuwa Eric Garcia atafanikiwa kuhamia Barcelona kwenye dirisha lijalo la uhamisho.

Kinda huyu mwenye miaka 20 amekataa kusaini mkataba mpya na Manchester City, akiwa na matarajio makubwa ya kurejea Camp Nou.

Mpaka sasa hakuna tamko ramsi juu ya uhamisho wa staa huyo, licha ya ripoti kuonesha kuwa Barcelona tayari walikuwa wamefikia hatua nzuri ya mazungumzo na uwakilishi wa mchezahi huyu.

Pep Guardiola anaamini kuwa nyota huyu ambaye amecheza mechi nne tu za Ligi Kuu Uingereza kwa msimu huu ataenda kuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Ronald Koeman.

eric garcia Barcelona

Guardiola amekiri licha ya staa huyu kutokucheza mechi nyingi msimu huu, ni mmoja wa wachezaji ambao anawahitaji zaidi, bahati mbaya hana cha kufanya mkataba wake unapoelekea ukingoni.

“Kuna wachezaji ambao hawahacheza mechi yeyote. Nadhani, kwa mfano Eric Garcia, ni mmoja wa wachezaji ninaowapenda. Ningependa kuwa na kina Eric Garcia 15 kwa sababu ya tabia yake. Wakati wote huifikiria timu. Wakati wote huonesha sura nzuri bila kujali ni wakati mbaya au mzuro.”

“Ataenda kwenye timu nzuri, na kama watu watasema kuwa hawatosheski nisipowachezesha, nadhani ni Eric. Mda mwingi hawepo kwenye benchi kwa sababu anaenda Barcelona. Natumaini hivyo. Lakini ndiyo ipo hivyo.” _ Pep Guardiola

Gracia pia hakuwepo kwenye kikosi kilichocheza fainali ya EFL dhidi ya Tottenham, ambayo Man City walishinda dakika za mwisho Jumapili.


 

Kwani Meridianbet Wanasemaje! Mkwanja Upo Kwenye Kasino mpya ya Mini Power Roulette.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

12 Komentara

    Bora aende huko ataenda kuwa moto sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Good

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Ni poa kama ataenda huko barca

    Jibu

    City itakua imepoteza mtu makin

    Jibu

    Nenda tu maisha popote

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Safali njema huko uendako

    Jibu

    Good

    Jibu

Acha ujumbe