Guimaraes Kufanya Vipimo na Newcastle Leo.

 

Beki wa kimataifa wa Brazil, Bruno Guimaraes anatarajia kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu siku ya leo Ijumaa kabla ya kukamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Newcastle.

 

Guimaraes atafanyiw avipimo katika nchi yake ya Brazil baada ya Newcastle kukubali kitita cha pauni milioni 33 pamoja na nyongeza na klabu ya Ufaransa ya Lyon ili kumsajili kiungo huyo.

Arsenal walikuwa miongoni mwa vilabu kadhaa vilivyo na nia ya kumsajili Guimaraes, ambaye pia amekuwa akifuatiliwa kwa karibu na Manchester United na PSG, lakini kikosi cha Eddie Howe sasa kiko mbioni kuinasa saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24.

Guimaraes amecheza mechi 25 katika mashindano yote akiwa na Lyon msimu huu, na kutoa pasi sita za magoli [assist]. Pia amecheza mechi tatu za timu ya taifa ya Brazil.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe