Kwa muda mrefu Gwambina FC imekuwa ikicheza bila ya nyota wake na kuzua sintofahamu kwa mashabiki wakihoji walipo wachezaji hao, sasa uongozi umeibuka na kuweka wazi kila kitu.

Timu hiyo ambayo inayonolewa na kocha Mmarekani Mellis Medo akiwa ni wa tatu kukinoa kikosi hicho, kwa muda mrefu imewakosa nyota wake, akiwamo Mrisho Ngasa, Salim Aiyee na nahodha wake Jacob Masawe aliyeipandisha daraja.

Ofisa habari wa Gwambina, Felician Muenzi alisema Ngasa alisema Ngasa aliumia kifundo cha mguu dhidi ya Simba SC.

Masawe hadi sasa anasubiri uamuzi wa kamati ya Nidhamu kutokana na kesi ya kimaadili aliyonayo na Aiyee ana matatizo ya kimkataba na taarifa zimeshatumwa TFF.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa