Erling Braut Haaland ameweka wazi kuwa mlinzi wa Napoli Kalidou Koulibaly ni moja kati ya wachezaji bora zaidi duniani.
Kwa mujibu wa Haaland, mlinzi huyu wa Napoli ni moja kati ya mabeki bora zaidi duniani, yeye anamuona ni miongoni mwa mabeki watatu bora duniani.
Mshambuliaji huyu wa Borussia Dortmund alizungumza na chanzo kimoja cha habari cha Norway juu ya wapinzani wagumu ambao amewahi kukutana nao katika soka lake la kulipwa na akaamua kutiririka hivi:
“ Nathani walinzi bora watatu duniani ni Sergio Ramos, Virgil van Dijk na Kalidou Koulibaly. Hawa wote watatu ni wana miili, lakini pia wana akili sana kwa namna wanavyocheza” – Erling Haaland

Hata hivyo Napoli wamefanya kazi ya ziada kumbakiza staa huyo, wakipambana mara kadhaa na vilabu vikubwa vilivyokuwa vinataka kuinasa saini yake wakiwemo Liverpool, Manchester City, PSG na Manchester United.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?
Shakila mrope
Asante kwa taarifa meridian bert mko gizuri
farida ahmad
Pongezi sana
Sarah
Pongezi kwake
Caroline
Koulibay yupo vizuri
Angelina
Goodnews
Rahmal
Hongera zao
Ernest Kimeru
Ngoja tuone January itakuwa na miujiza gani kwenye usajili
Hopemwaikuka
Sina Shaka na mtazamo wako
Issa
Koulibaly ni bek bora
Dorophina
Haaland mtu makini pongezi kwake
Saupha mohamed
Hongera yao
Neema juma
Pongezi kwao
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi kwake jembe
Fatina mfingi
Safiii
Mwanahamisi
Safi
Asia Abdy
Absolutely
warda
Ata mie nawaona ubora wao
Tatu
Safi
Zahara omary
Pongezi kwako
Sania
Hongera kwao