Hakimi Anukia Inter

Inter wanakaribia kukamilisha usajili wa Achraf Hakimi kutoka Real Madrid kwa ada ya €40m (£35.8m) na nyongeza. Beki wa kati wa Morocco amekuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Dortmund kwa misimu miwili iliyopita na bado anatafuta nafasi ya kucheza.

Hakimi, ambaye tayari wamekubaliana mkataba wa miaka mitano na Inter baada ya kuwa mafanikio akiwa na Dortmund. Anaweza kucheza beki ya kushoto au kulia lakini pia winga zote lakini Madrid walisema mapema huenda angekuwa mbadala wa Dani Carvajal msimu ujao, na kumfanya beki huyo kutafuta changamoto kwengine.

Hakimi alijiunga na Madrid 2006, akaanza kwenye vikosi vya vijana labla ya kucheza mechi yake ya kwanza La Liga mwaka 2017. Alijiunga na Dortmund Julai 2018 na amefunga magoli saba katika mechi 53 kwenye Bundesliga.

Kocha wa Inter, Antonio Conte, anavutiwa sana na Hakimi na Inter wako tayri kumnasa kutoka Real. Inter, wapo nafasi ya tatu lakini pia wana matumaini ya kumnasa kiungo wa Brescia Sandro Tonali, ambae ada yake ni €35m.

51 Komentara

    Nijambo zuri kwake

    Jibu

    Bora mnavyomchukua hakimi ili awanyanyue kisoka

    Jibu

    Inter watafanya viizuri wakimwaga wino kwa hakimi

    Jibu

    Wamchukue tu ili waweze kuimarisha vema kikosi chao

    Jibu

    Ni Jambo jema sana hilo

    Jibu

    Bora inter wamchukue anaweza kuleta maajabu mapya

    Jibu

    Hakimi atawasaidia kuinua kikosi kwa kiasi fulani

    Jibu

    No habari nzuri kwa mchezaji husika maana mchezaji nzuri siblazima kucheza timu moja

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa inter

    Jibu

    Karibu sana Inter

    Jibu

    Inter Milan nafikiri atapata nafasi ya kucheza na kukua zaidi kisoka

    Jibu

    Achraf Hakimi Kusema kweli hapati muda mwingi wa kucheza ndani ya club ya Madrid, ni vizuri kuangalia bahati yake sehemu nyingine.

    Jibu

    Achraf Hakimi anafasi ya kucheza Real Madrid #meridianbettz

    Jibu

    Wafanye hivyo labda itasaidia

    Jibu

    Uwamuzi mzuri kila rakheli kwao

    Jibu

    Litakua bonge LA deal endapo watafikia makubaliano na time husika

    Jibu

    gud news mambo ni moto

    Jibu

    Kila la kheri hakimi na pia hongera kwa kusaini mkataba mpya

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari mpya hii kwa Italia

    Jibu

    hapati muda mwingi wa kucheza ndani ya club ya Madrid, ni vizuri kuangalia bahati yake sehemu nyingine.

    Jibu

    Dogo anabidii sana timu atakayoenda watafaidi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Asantee kwa habari njema

    Jibu

    Ni habar nzuri

    Jibu

    Ni dili zuri kwa inter kama wakikamilisha

    Jibu

    Habar nzur

    Jibu

    Kama watafanikiwah utakuwah poa sana

    Jibu

    Inter itakua imefanya la maana kumchukua ili safu ya ulinzi iimarike

    Jibu

    Huyu kijana namkubali sana.

    Jibu

    Hakima bora aende inter mana real Madrid anawekwa bench Mara kwa Mara bora aende tu huko labda anaweza kuokota dodo

    Jibu

    Conte ni coach mzuri kwa wachezaji wa aina ya hakimi tusubiri kumuona atafanya nini pale Italy

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wake & timu ya intermilan kwa ujumla Kama watamsajili litakuwa chaguo sahihi kwa intermilan# meridianbettz

    Jibu

    Antonio Conte anamkubali sana Hakim na ukiangalia kwel kabisa hakim n bonge la mchezaji hivyo anauwezo kabisa wa kumshawishi straka huyo kujiunga na club ya inter
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Maoni:habar njema kwao

    Jibu

    Inter Milan inasuka kikosi sana wanajamb lao uefa ya mwakani

    Jibu

    Bora inter wamchukue anaweza kuleta maajabu mapya

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Itakuwa vzr akiamia inter aongeza nguvu kwenye timu sio mbaya kambi popote

    Jibu

    Anaweza kuleta maajabu bora Inter wamchukuwe

    Jibu

    Asante kwa taarifa..

    Jibu

    Antonio konte kumtaka hakimi nisahihi kwa sababu hakimi nimchezaji mzuri sanaa

    Jibu

    Ni mchezaj mzr anacheza nafasi nyingi sana dimban wakimpata inter itatisha sana msimu ujao

    Jibu

    real sidhani kama wanweza kumuachia huyu

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Habar murua

    Jibu

    Ni bora pengine huenda ikamsaidia kuonyesha uwezo aliokuwa nao

    Jibu

    Bora inter wamchukue anaweza kuleta mabadiliko

    Jibu

    Ananafasi ya kucheza real Madrid

    Jibu

    Maoni:Asante kwa taarifa

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

Acha ujumbe