Achraf Hakimi amebainisha kuwa Antonio Conte alikuwa na nafasi kubwa sana kumshawishi ajiunge na klabu ya Inter Milan.
“Aliniita na kunifanya nijione muhimu”
– Achraf Hakimi
Winga huyu wa zamani wa Real Madrid na Borussia Dortmund, alizungumzia hamasa yake kujiunga na Inter msimu wa joto uliopita kwa dau la €40m.
Nyota huyu wa miaka 22 anasema kuwa Conte alimuita na kumshawishi kuijiunga na klabu, kufuatia wito huo alijiona kuwa sehemu muhimu.
Akizungumzia hali ya sasa na kikosi cha Conte, anasema kuwa anadhani ni wakati wao kuanza kushinda Italia na Ulaya kwa ujumla.
Hakimi anasema anajali watu wanaolielewa soka na wanamkubali na kuutambua mchango wake kwa namna anavyocheza.
“Ninachojali ni wale wanaoelewa soka na kukubali namna ninavyocheza. Hapa, nimejifunza namna ya kujilinda vizuri zaidi ya nilivyokuwa mwanzo.
– Achraf Hakimi
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Yuko sahii
Amefanya vizuri
Yuko sawa
Yupo sahii
Alifanya vizuri Sana kumshauri
Amefanya vizur
Sahihi kabisa
Yuko sahihi
Pambana kijana.
Safi
Nice
Safii
Conte noma
Vizurii
Yupo sahihi
Vizuri