Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Harry Kane ameweka rekodi mpya ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi Zaidi aliyecheza kwenye klabu moja kwa muda mrefu.

harry kane, Harry Kane Aweka Rekodi ya Ufungaji Bora., Meridianbet

Kane amefunga jumla ya magoli 185 baada ya kufunga kwenye mchezo wa leo dhidi ya Wolves United uliomalizika kwa Spurs kushinda goli moja, goli lililofungwa mnamo dakika 64.

harry kane, Harry Kane Aweka Rekodi ya Ufungaji Bora., Meridianbet

Kwa maana hiyo, Kane anawazidi wafungaji wengine lama Sergio Aguero mwenye idadi ya magoli 184, akifuatiwa na Wayne Rooney mwenye magoli 183, nafasi yay a nne inashikwa na Thierry Henry ana magoli 175, na namba 5 inashikiliwa na Alan Shearer mwenye magoli 148.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa