Harry Kane, Tutaendelea Tulipoishia.

Baada ya pukurushani za kutaka kuondoka Spurs kugonga mwamba, Harry Kane kuendelea kubaki klabuni hapo msimu huu.

Kubaki kwa Kane, ni fursa nyingine kwa uongozi wa klabu hiyo na mchezaji huyo kufanya mazungumzo ya mkataba mpya.

Iliripotiwa kuwa, Man City walikua na makubaliano na Harry Kane ambapo angepokea takribani £500,000 kwa wiki endapo angefanikiwa kujiunga na klabu hiyo.

Kane bado anamkataba na Spurs mpaka 2024. Suala la mkataba mpya, halijafutwa kwenye mipango ya klabu hiyo. Japokuwa, inasemekana kitu pekee kitakacho mfanya Kane asaini mkataba mpya ni kuwekwa kwa kipengele cha kumruhusu kuondoka kwa dau litakalo kubaliwa na pande zote zinazohusika.

Huu ni utaratibu ambao Daniel Levy hautumii wala hana imani nao na hivyo, ni kama tutaendelea tulipoishia baada ya Euro 2020.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe