Hatimaye Makubaliano ya Hojbjerg Kukamilika

Klabu ya Tottenham na Southampton hatimaye wakubaliana ada ya uhamisho wa Pierre-Emile Hojbjerg. Makubaliano ya ada ya nyota huyu yamechukua takribani wiki zima, kabla ya pande hizi mbili kufika muafaka.

Spurs hapo awali walikwama kwa hesabu ya Southampton ya 25m kwa staa huyu wa Kidenmark, ambaye ni mwaka mmoja tu umesalia kwenye mkataba wake.

Klabu hizo mbili sasa zimekubaliana ada ambayo ni chini ya hiyo, lakini ni zaidi ya ofa ya awali ya $ 15m waliyoitoa Spurs.

Klabu zingine tatu, pamoja na Everton, awali zilitaraji kutoa ada ambayo ingekubalika na Spurs.

Lakini mchezaji huyo wa zamani wa Bayern Munich mwenye umri wa miaka 25, ambaye alitolewa kwenye majukumu ya unahodha baada ya kumwambia meneja Ralph Hasenhuttl kuwa hataongeza kandarasi yake, anajiandaa kuhamia London kaskazini.

Southampton sasa wanatumaini kuwa kufanikiwa kwa mazungumzo juu ya Hojbjerg kunaweza kurahisisha kupatikana kwa Kyle Walker-Peters kutoka Spurs kwenda kule St Mary’s.

 


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia Mchezoni

35 Komentara

    Saf Sana arsenal

    Jibu

    Hongera Arsenal

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Hatimaye makubaliano yamefanyika kufikia muafaka maana imechukua muda sana mpk kufikia muafaka huo kwa upande wangu Pierre -Emile hajbjerge ni bonge la mchezaji kutoka Hotspur maana tumeona club kibao nazo kumuwekea dau Kama evarton ila muafaka umefanyika hatimaye Southampton kufikia makubaliano ya kumchukua kwa pound 25m kwa upande wangu nilijua watamchukua Everton kutokana na Sanchez kucheza kwa mkopo na mkataba kufikia ukingon ila Southampton kumtwaa Pierre-Emile hajbjerge n habar njema sana 👍

    Jibu

    Safi arsenal

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Spurs hapobwamepta mchezaji maana jamaa anajua sanaa Yani akiwa uwanjani anajua majukumu yake

    Jibu

    Hongera arsenal

    Jibu

    Hongera arsenal#Meridianbettz

    Jibu

    Arsenal wamejua kuchagua wamepata player mzuri

    Jibu

    tottenham wamejipatia kijana mzuri hakika hawatojutia pesa zao walizozitumia katika harakati za kumpata

    Jibu

    Hongera arsenal

    Jibu

    Safi sana Arsenal#meridianbettz

    Jibu

    Naona kwa mbali arsenal ile ya zamani inarudi

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Makal nzur

    Jibu

    Tottenham ina wachezaji wa kutosha nafasi ya kiungo nashangaa bado inaendelea kununua wachezaji nafasi hiyohiyo#meridianbettz

    Jibu

    Hongera Arsenal

    Jibu

    safi sana arsenal

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Safiiii

    Jibu

    Watu wa Mou

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Hongera arsenal

    Jibu

    Safiiii Sana arsenal

    Jibu

    Vzur

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Hongera spurs

    Jibu

    Pongezi kwa arsenal

    Jibu

    Hili ni deal zuri sana kwa Hojbjerg

    Jibu

    Mmetisha sana Arsenal

    Jibu

    Deal done spurs

    Jibu

    Imekaa poa sana hii

    Jibu

Acha ujumbe