Khaldoon Al Mubarak amedai kuwa Manchester City watawaruhusu Sergio Aguero na Pep Guardiola kuamua mustakabali wao kama ni kusalia Etihad Stadium ama kuondoka zao.

Mfungaji bora kwa muda wote wa Manchester City pamoja na meneja mwenye mafanikio katika Historia yake ya soka kwa pamoja mikataba yao itafikia ukomo katika majira yajayo ya joto, huku klabu ikipitia katika kipindi cha mabadiliko baada ya kuondoka kwa Vincent Kompany na David Silva kwa misimu iliyofuatana.
“Vincent aliondoka pale alipoona ni sahihi kwake kuondoka vivyo hivyo kwa David. Sergio pia anaeleka katika wakati kama wa wenzake,huenda ikawa mwaka huu ama ujao” alisema Khaldoon

“Itakuwa sawa tu kwa vyovyote vile Sergio atakavyoamua. Jibu ni hilo hilo kwa Pep. Haya mazungumzo kwa Pep ni ya kawaida sana.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.



Devotha
Wakati ukifika wakihitaji kuondoka wataondoka maamuzi ni yao
Dorophina
Guardiola ni bora abaki man city ni kocha mzuri na anajua kuifundisha timu ameipandisha daraja liver wasikubali kumuachia kirahic mkataba wake utakapoisha
felister
itakua sawa tu wao wenyewe waamue kama kuondoka au kubaki
Mwajumah
Ni kocha mzuri anayejua kufundisha team guardiola bora abaki mancity#Meridianbettz
Caroline
Ni kweli wawaache wafanye maamuzi wenyew
Ernest
Hapa wasiwasi wangu ni kwa Aguero tu maana amekuwa kama mzigo kwa City katika kipindi hiki kutokana na majeruhi lakini Pep bado anaweza akawa na misimu kadhaa ndani ya City sababu kipo anachokitafuta
Povel
Aguero amekuwah na matatiz ya kutomalizah msimu pasipo kuhumiah hv city hapo maamuz wanayo wao wanawez kumbakizah au kumruhus kuondoka uamuz ni wao hapo
Fatuma kasomo
itakua poa tu wenyewe waamue kuondoka au kubaki
Sadick
Khaldoon Al Mubarak ameonyesha heshima kubwa kwa Aguero na Pep kwamba Klabu inawahitaji lakini uamuzi upo kwao kubaki au kuondoka. Umri wa Aguero umeenda na amekuwa na majeruhi ya mara kwa mara nadhani klabu inatakiwa kufikiria kuachana naye#meridianbettz
Mwanahamisi
Ni kocha mzuri anayejiweza
Agness
Ni habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Wafanye uwamuzi
rama
mhhh man city kweri ataweza kuwaachia waondoke tu ngoja tuone
Latifa juma mohamed
Muda ukifika wakihitaji kuondoka wataondoka maamuzi ni yao.
Antony Luseno
Sidhani kama watakuwa na maamuzi mengine isipokuwa kubaki
aisha
Maamuzi ni yakwao wakiamua kuondoka wataondoka
Nasra
Maamuzi yao si mabaya
Amiri Kayera
Aguero bado uwez wake aendelee kubaki
Rehema
Naona maamuzi yako sahihi
farida ahmadi
Asante kwa taarifa
neema hassan
Asante kwa habari za michezo na burudan#meridianbettz
Fatina mfingi
Maamuzi yako sawa
Rose kapinga
Wafanye hitimisho!!
Hidaya
Mshika mbili wafanye maamuzi
Tatu
Maamuzi ni yake
Furahav
Abaki tu,mana bado yuko vizuri.
Sabrina
Bado yuko vizuri abaki tu
Hope mwaikuka
Waonavyo inafaa
Amani
Wa mpe mkataba mwingine azidi kusalia kocha mzuri Sana
JULIANA
Asante kwataharifa
Neema
Maamuzii yako juu yao
jullie
habari nzuri
lombo
saf
Leonard
Vizuri ikiwa wote watabaki
Samiah
Safi
Saupha mohamed
Wafanye maamuzi
Asia Abdy
Good news
Issa
Aguero umri ushamtupa mkono
Janeflora malisa
Nice
Ester jackson
Ingeoendeza zaidi kocha Guardiola abaki kukisuka kikosi
Theckla
Asante kwa taarifa
Theonestina
Habari njema
Sauda
Uamuzi ni wao
warda
Kocha kama huyu sio wa kumwachia
Johnmary joel
Maamuzi ni ya kwao kubaki au kuondoka#meridianbett
magdalena
guardiola city bado wanakuhitaji
Tahiya
Wafanye maamuz yaliyo sahihi
Shani
Maamuzi yako kwao wenyewe.
Shafii
Maamuzi sahihi yapo kwao kusalia clubuni hapo au kusepa.
David Pere
Hapa wasiwasi wangu ni kwa Aguero tu maana amekuwa kama mzigo kwa City katika kipindi hiki kutokana na majeruhi lakini Pep bado anaweza akawa na misimu kadhaa ndani ya City sababu kipo anachokitafuta
Gabriel
Aguero amekuwa kama mzigo kwa City katika kipindi hiki kutokana na majeruhi lakini Pep bado anaweza akawa na misimu kadhaa ndani ya City sababu kipo anachokitafuta