Hatma ya kiungo wa Manchester United, Paul Pogba inatarajiwa kujulikana mara baada ya fainali ya Europa League ambayo itapigwa Poland. United inatarajiwa kucheza mchezo wa fainali kesho, Mei 26 dhidi ya Villareal.

Europa

Kaka wa Pogba, Mathias amesema atazungumza na Kocha Mkuu wa United, Ole Gunnar Solkjaer baada ya fainali hiyo kuhusu nyota huyo raia wa Ufaransa.

Mkataba wa kiungo huyo ndani ya United unatarajiwa kumeguka mwaka 2022 Juni na wakala wake Mino Raiola alinukuliwa akisema kuwa staa huyo hana furaha ndani ya England.

Kaka wa Pogba amesema:”Kama Pogba atashinda taji la Europa League hapo ndipo tutazungumza hatma yake japo anahusishwa kwenda Barcelona pia,”.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa