Mshambuliaji wa Chelsea, Kai Havertz amewaahidi mashabiki kuwa Blues wamepanga kufanya kila kitu kuifunga Manchester City na kushinda Ligi ya Mabingwa hapo kesho.

 

Chelsea FC imekuwa bora kwenye Ligi ya Mabingwa msimu huu, baada ya kuiondoa Real Madrid katika nusu fainali na kujiweka nafasi kwenye mechi ya kesho.

Havertz amesisitiza kuwa Chelsea wako tayari kufanya kila wawezalo kuwashinda vijana wa Pep Guardiola na kuinua kombe kwa mara ya kwanza tangu 2012.

“Ni juu ya kujitolea katika mchezo, kufurahia mchezo, na tunatarajia kushinda,” alisema Havertz.

“Kuwa ndani ya handaki, kutoka nje, kusikia wimbo, na kisha kutoa kila kitu kwa zaidi ya dakika 90 ni ndoto ya utoto ambayo imefikiwa lakini bado haijatimizwa.

 

“Bado tunahitaji kushinda na tutafanya kila tuwezalo kufanya hivyo.” aliongeza Harvetz


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

5 MAONI

  1. Fainali itakuwa ngumu sana adi sasa bado bingwa hajajulikana, Nadhani wachezaji wanatakiwa kuweka mawazo yao yote juu ya mechi hii ya Fainali ili kuweza kunyakua ubingwa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa