Wakala wa Arkadiusz Milik anatajwa kuwa tayari yuko nchini Italia, wakati Napoli wakiripotiwa kuwa wanataka €15-18m kama dau la kumuuza mshambuliaji huyo, ambaye mkataba wake unamalizika mnamo Julai.

Fowadi huyo amekuwa nje ya kikosi tangu alipokataa kusaini mkataba mpya msimu wa joto, wakati wa uhamisho wake kwenda Roma ulipovunjika dakika ya mwisho.

Pia nyota huyu yupo kwenye hatari ya kupoteza nafasi yake kwenye kikosi cha Poland kwa mashindano yaliyopangwa tena ya Euro 2020, kwa hivyo anahitaji kupata klabu kipya kwenye dirisha la uhamisho la Januari.

Licha ya uwezekano wa kumpoteza bure mnamo Julai, Napoli inasemekana bado wanashikilia msimamo €15-18m kuuza Milik.

Kwa mujibu wa Goal.com, Juventus inabaki kuwa klabu ambayo anatarajia kwenda, ingawa kuna maslahi kutoka Atletico Madrid na Tottenham Hotspur.

Arkadiusz Milik anaweza kuanza mazungumzo na klabu mpya kutoka Februari.


 

BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

Arkadiusz Milik, Hili Ndio Dau la Arkadiusz Milik Wanalotaka Napoli, Meridianbet

INGIA MCHEZONI!

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa