Taarifa kutoka Guinea ni kwamba klabu ya Horoya inataka kumnunua kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe na wakimwekea Ofa kubwa ya mshahara mara tatu ya ule anaolipwa Yanga.
Horoya inafahamu kwamba mshahara wa Mukoko ni dola 3100 (Sh 6milioni) pale Yanga na wamemwambia watamlipa dola 9000 (sh 18milioni) kwa mwezi.
Achana na mshahara lakini Yanga nao pia watapewa ofa ya awali ya kiasi cha dola 200,000 (Sh 464 milioni) kumuachia kiungo huyo aliyebakiza mwaka mmoja ktk mkataba wake na Yanga.
Kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo, Nestor Mutuale amethibitisha kuwa Horoya wanamtaka Mukoko na watatuma Ofa rasmi mapema wiki hii.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Duh maamuzi yapo kwa viongozi wake