Houllier Aaga Dunia Akiwa na Miaka 73.


Mchezaji wa zamani wa Liverpool na Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, klabu ya Lyon, PSG na Aston Villa, Gerard Houllier amefariki akiwa na miaka 73.

Houllier aliiongoza Liverpool kushinda kikombe cha FA, kombe la Ligi na UEFA Cup na kuwezesha timu hiyo kushinda makombe matatu (treble) mwaka 2001, alidumu Anfield kwa miaka 6 tangu mwaka 1998 mpaka 2004.

 

Baada ya kuitumikia Lyon kwa kipindi cha miaka 2 Houllier alirudi katika Ligi ya Epl na kuchukua nafasi ya Martin O’Neill kama kocha wa Aston Villa. Alijiuzuru nafasi hiyo mwezi juni mwaka uliofuata baada ya kupata ugonjwa wa moyo.

Houllier Ametumikia nafasi ya ukocha kwa miaka 38, pia amefundisha timu ya Taifa ya Ufaransa, klabu ya Lyon na Paris Saint-Germain ambapo alishinda taji la Ligue 1 mwaka 1986 -Taji la kwanza kati ya Mataji 9 ya PSG.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

15 Komentara

    Rest well legend

    Jibu

    Rip houllier

    Jibu

    Rip houllier

    Jibu

    Ri.p houllier

    Jibu

    R.I.P

    Jibu

    R.i.p

    Jibu

    Rip legend

    Jibu

    Rip

    Jibu

    Rest easy Legend, see you there.

    Jibu

    RIP

    Jibu

    Rip

    Jibu

    Rip

    Jibu

    Pumzika kwa amani

    Jibu

    Rip

    Jibu

    Apunzike kwa Amani

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.