Huyu Ndio Jadon Sancho!

Jadon Sancho akiwa na Borussia Dortmund msimu huu huko Bundesliga:
❍ Magoli 17
❍ Assists 16
🏟 Mechi 27

Jadon Sancho ndiye mchezaji wa kwanza wa Kiingereza kufunga mabao 15+ na kutoa Assists 15+ katika msimu mmoja wa ligi katika moja ya ligi kuu tano kubwa Ulaya tangu Matthew Le Tissier mnamo 1994/95 (Magoli 19 na Assists 16)

Hat trick ya hii leo inamfanya Sancho kufikisha mabao yake 17 ndani ya Bundesliga msimu huu na Assist yake moja inamfanya kufikisha pasi za mabao 16, na kumfanya kuwa mchezaji wa kwanza tangu mwanzo wa ukusanyaji wa takwimu za kina (2004-05) Kufunga mabao 15+ na kutoa Assists 15+ katika msimu wa Bundesliga.

44 Komentara

    Jadon yuko vzur namkubali sana

    Jibu

    Jadon Sancho yupo makini

    Jibu

    Hii winger no hatari sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Ni winger hatari sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Kutokana na hat trick hii Jadon Sancho amevunja record thnx @ meridianbett 4 upadate

    Jibu

    Hat trick ya hii leo inamfanya Sancho kufikisha mabao yake 17 ndani ya Bundesliga msimu huu pia Ni mwingereza ambaye akukubalika nyumbani Ila mpka Sasa timu kibao za epl zinamuitaji ikiwa man u#meridianbettz

    Jibu

    Ni mmoja Kati ya waingereza na ulaya wanaofanya vzr sana thnks meridian kwa update

    Jibu

    Kwa up date hii winger huyu anaonekana nimzuri sana kwa hat trick 15 na magoli 15 kwa msimu mmoja

    Jibu

    Yupo vizuri ingependeza Kama na wachezaji wengine wakaiga mfano kutoka kwake

    Jibu

    Dogo mkali wa pass za mwisho …tunamsubil man utd..

    Jibu

    Anajua dogo huyo Jadan Sancho anajua kupambana

    Jibu

    Hii habari iko poa.

    Jibu

    huyu dogo yuko vizur lakini akilewa sifa kama kina kichuya kapotea

    Jibu

    Nabii uwa akubariki kwao,naona bora aendelee kucheza uko uko,

    Jibu

    Ni mmoja Kati ya mchezaji wa kiingereza yupo vzr uwanjani ,ahsante team meridianbet tz kwa habar njema.

    Jibu

    Dogo yupo vzr lkn asilewe sifa km kina shabalala

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Sancho ni mfungaji hodari kwa msim huu

    Jibu

    Hatari yuko vizuri pia awe makini sana asipewe sifa sana mana atajisahau

    Jibu

    Jadon nomaa

    Jibu

    Mtu makini sana..namkubali sana

    Jibu

    Jadon ni mchezaji mahiri sana namkubali sana

    Jibu

    pongezi kubwa kwako sancho ila endelea tu kukaza

    Jibu

    Sancho kufikisha mabao yake 17 ndani ya Bundesliga msimu huu pia Ni mwingereza ambaye akukubalika nyumbani Ila mpka Sasa timu kibao za epl zinamuitaji ikiwa man

    Jibu

    Sancho ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Sancho mafanikio yameanza vyema kwake ki kubwa ni kujituma sana

    Jibu

    Sancho jembee#meridianbettz

    Jibu

    Jason ndiye mchezaji wa Kwanza wa kiingereza kufungwa mabao 15

    Jibu

    Jadon Sancho namkubali sana

    Jibu

    Na muelewa sana jadon sancho

    Jibu

    Katishaaa sana kijana yuko vizuri

    Jibu

    Sancho atatisha sana badae#Meridianbettz

    Jibu

    Sancho noma sana anafanya vizuri sana

    Jibu

    Dogo yupo vizuri tunamsubili MAN U

    Jibu

    Jadon yuko vizuri sana

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Angekuwa EPL mchezaji bora wa msimu huyo na angeongelewa kupita maelezo

    Jibu

    Yuko vizuri huyu jamaa

    Jibu

    Mtu mmbayaa namkubal sana

    Jibu

    Mtu mbaya

    Jibu

    Jason mtu mbaya

    Jibu

    Mimi namuita Sancho Mnyama, Mwamba mtu mbaya.

    Jibu

    Huyo mtu ni mbaya

    Jibu

Acha ujumbe