Huyu Ndiye Meneja Mpya Everton

Everton wamemchagua Carlo Ancelotti kuwa meneja wa klabu hiyo. Meneja huyu raia wa Italia alitimuliwa kazi na klabu ya Napoli mapema mwezi huu.

Carlo ancelotti anachukua nafasi ya Marco Silva ambaye pia alisepa klabuni hapo Disemba 6.

Ancelotti ana rekodi ya kushinda Ligi ya Mabingwa mara tatu, alishawahi kifundisha klabu ya Chelsea na kutimliwa takribani miaka nane iliyopita.

Ancelotti alitimuliwa wakati Napoli wakiwa wameshindwa kupata ushindi kwenye gemu zao 9 za michiuano yote.

Hata hivyo, Napoli wakiwa chini ya Anceloti ndiyo walikuwa timu pekee mwaka huu waliowezaa kumchapa Liverpool.

3 Komentara

    Mbona ni kocha mzuri tuu huyu

    Jibu

    Yupo poa sana ancellot

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe