Mkurugenzi wa Lazio Igli Tare amesisitiza kuwa watu hawezezi kuhoji suala la ubora wa aliyekuwa nyota wa Manchester United, Andreas Pereira.

Nyota huyu amewekwa kwenye kikosi kinachoingia dimbani leo dhidi ya Specia.
Kiungo huyu mwenye umri wa miaka 24 alipelekwa Lazio kwa mkopo akitokea Manchester United na mpaka sasa amefanikiwa kupata goli moja tu katika mechi zake 8 alizocheza za mashindano.

Mkurugenzi wa michezo, Tare aliulizwa ikiwa matarajio yao juu ya Pereira yamefikiwa. “Sidhani kama unaweza kuhoji juu ya ubora wa mchezaji tuliowasajili kutoka Manchester United.”

Igli Tare: Hakuna Kuhoji Ubora wa Andreas Pereira

“Alihitaji mda wa kutulia katika mazingira mapya, kama ilivyo kwa wachezaji wengine wengi waliowasili msimu huu wa joto.”

Mkurugenzi amesisitiza kuwa ni suala la mda, suala la kupata kile wanachokitarajia ni mchakato ambao unahitaji mda na hakuna mtu naweza kuhoji juu ubora wa mchezaji yeyote.


 

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Pereira, Igli Tare: Hakuna Kuhoji Ubora wa Andreas Pereira, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

23 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa