Taarifa zinasema kuwa, winga pamoja mlinzi wa timu ya Inter Milan Ashley Young mwenye umri wa miaka 25 yupo kwenye hesabu ya Inter Miami.
Beki huyo ambaye amewahi kucheza pia ndani ya Klabu ya Manchester United na kushinda taji la Serie A akiwa chini ya Kocha Mkuu, Antonio Conte jambo ambalo linaikuza thamani yake.
Kutokana na uwezo wa nyota huyo, anatajwa kuiacha timu yake msimu utakapomeguka kwa sababu mkataba wake utakuwa umefika ukingoni.
Inter Miami inayomilikiwa na nyota wa zamani wa Manchester United, David Beckham, Marcelo Claure, Jorge Mas ipo tayari kushindana na Watford ili kupata saini ya nyota huyo.
Young aliwahi kucheza ndani ya Watford msimu wa 2003/2007 na alicheza jumla ya mechi 110 kabla ya kujiunga na Aston Villa kwa dau la euro milioni 9.65 msimu wa 2007.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Young bado kiwango anacho
Jamaa yuko vizuri sana
Kiwango chake bado kipo juu
Mchezaj mahiri awapo uwanjan
Ashley bado imara
Bado yuko vizuri
Kijana yupo makini
Yupo vizuri
Safi Sana
Inter Miami inayomilikiwa na nyota wa zamani wa Manchester United, David Beckham, Marcelo Claure, Jorge Mas ipo tayari kushindana na Watford ili kupata saini ya nyota huyo.