Inter Milan inazidi kuwa karibu zaidi na dili la nyota wa Atalanta na Papu Gomez, huku ripoti zikitaja kuwepo kwa makubaliano ya awali na mchezaji huyo, lakini vilabu bado vinahitaji kufanya makubaliano.
Gomez anafanya mazoezi binafsi tofauti na wanatimu wengine, hata baada ya mapumziko ya Krismasi anatarajiwa ataendelea kufanya mazoezi kwa kujitenga baada ya kusuasua kwa suluhu ya masuala yake na mkufunzi Gian Piero Gasperini.
Wakati Milan, Roma, Napoli na vilabu kadhaa vya MLS wakiwa wanavutiwa na saini ya nyota huyu, Inter bado ni wanapigiwa upatu zaidi.

Kwa mujibu wa gazeti la Corriere dello Sport, Inter Milan wanamtaka kwa bei sahihi, ambayo ni bei ya chini kuliko bei ya awali ya milioni 15.
FCInterNews pia wanaripoti kwamba Gomez ameshughulikia masharti ya awali na Inter, kwa mkataba unaoweza kumuweka hadi Juni 2023 wenye thamani ya € 2.5m kwa msimu pamoja na bonasi, lakini vilabu hivyo viwili vinahitaji kuafikiana kukamilisha hili.
Pesa za Inter Milan zinaweza kupatikana kwa kumuuza Andrea Pinamonti, wakati mchezaji wa timu ya vijana Gaetano Oristano pia anaweza kujumuishwa katika dili hilo.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?




Khadija
Asante kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri wakimpata
Rahmal
Meridian bet Asante kwa taalifa
Adelta
Itakuwa ni vizuri wakimpata
Sabrina
Inapendeza sana wakimpata
Fatina mfingi
Itakuwa powah sana
Ernest Kimeru
Inter wazee wa wazee lazima watamchukua tuu
Neema juma
Itakuwa poa sana
warda
Watakua wamefanya poa
Sarah
Itakuwa poa wakimpata
Dorophina
Gomez’s akienda inter itakuwa poa sana
Angelina
Nice update
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Hopemwaikuka
Jambo jema