Inter Wapiga Chini Ofa ya PSG

Inter Milan imepiga chini ofa ya £54m kutoka Paris Saint-Germain kumhusu Mauro Icardi, na kuiacha Chelsea kwenye mbio na kuwania saini ya straika huyo.

Icard, 27 kwasasa yupo PSG kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Inter na klabu hiyo ya Ufaransa wanataka kumbakisha  baada ya kufunga magoli 12 kwenye mechi 20 za Ligue 1.

Inter wapo tayari kumuuza, lakini wameweka dau la £62.7m na hawataki mazungumzo.

PSG walipeleka ofa ya £44.7m na nyongeza ya £8.9m kulipwa kwa awamu kutokana na kiwango cha Icardi, lakini Inter hawakupendezwa nayo. na mchezaji ana mkataba hadi 2022.

Chelsea wanataka kuongeza nguvu kwenye kikosi chao kipindi hiki cha kiangazi, wakati Frank Lampard anataka kuongeza machaguo ya washambuliaji na uhamisho wa Icard unaonekana ni mtu sahihi.

Inter wamekataa ofa ya PSG lakini bado wana nafasi ya kumsajili, lakini wataweza kuweka zaidi ya £60m kwaajili ya straika na hali ya sasa ya uchumi?

Muargentina huyo ana takwimu nzuri za kufunga akiwa Inter kwani amefunga magoli 111 kwenye mechi 181 akiwa Italia, alipewa unahodha mwaka 2015 akiwa na miaka 22.

Makala iliyopita

54 Komentara

    Asante meridianbet kwa update

    Jibu

    Asanten meridian kwa habari

    Jibu

    Akitua Chelsea itakuwa vyema sana

    Jibu

    Wamuache tu wasimuuze

    Jibu

    Inter noma

    Jibu

    Mario icard mchezaji nzuri Sana
    Fanya maamuzi sahihi kubaki au kuondoka inter milan#meridianbettz

    Jibu

    P S G wapambane kumbakisha Icard kwani dizaini Juve hawamuhitaji tena ingawa nao Chelsea wanamuhitaji

    Jibu

    Wanafanya wanachoona wapo sahihi

    Jibu

    Ahsant meridian kwa habari njema

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Uamuz ni wakwao

    Jibu

    Icardi mchezaji mzuri lakini kwasasa bei hiyo ni kubwa#Meridianbettz

    Jibu

    Inter wakimuacha watakuwa wanayumba sana

    Jibu

    Bora abaki tu

    Jibu

    Asante kwa taarifa za kimichezo kama hizi.

    Jibu

    wamsain tu chelsea chama kubwa

    Jibu

    Jambo la msingi sana, Chelsea wachangamkie fulsa hiyo, wasiliache jembe.

    Jibu

    Yuko vizuri jamaa

    Jibu

    Thanks meridian bet tz kwa update

    Jibu

    wao ndo wenye uamuzi wa mwisho

    Jibu

    Ni uwamuzi wao na wanasababu zao

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    inter wakifanya masihara Icardi ataondoka bure wao pasipo kupata kitu

    Jibu

    Asantee meridian kwatarifa

    Jibu

    Yupo vizuri katika kufunga magoli inabidi PSG wamganganie asiondoke mkataba wake ukiisha

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    wamuache tu wasimuuze#meridianbettz

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habari na burudani za michezo

    Jibu

    Duuu asante meridianbet kwa kutujuzaa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ahasante kwa taarifa

    Jibu

    Jamaa yupo vizuri lazima na Dau liwe nono

    Jibu

    Icardi yupo vizuri lakini EPL hapawezi pale bora atulie tu huko PSG

    Jibu

    Icard yuko sawa.

    Jibu

    Psg wajipange sana

    Jibu

    Asante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Uamuzi ni wakwao wenyewe

    Jibu

    PSG hawawezi kumuuza icardi

    Jibu

    Wajipange psg

    Jibu

    Habar njema kwao tnx # meridianbet

    Jibu

    mchezaji mzuri lakini kwasasa bei hiyo ni kubwa#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asanten meridianbet tunapata habari njema kutoka kwenu

    Jibu

    Taarifa nzuri

    Jibu

    Akitua Chelsea itakuwa safii

    Jibu

    Chelsea changamkieni fursa acheni kulala

    Jibu

    muacheni tuu msimuuze

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

    Gud news👍👍

    Jibu

    Binafsi namkubali sana kijana huyu

    Jibu

    Mchezaji mzuri

    Jibu

    Kizuri kinajiuza chelsea waweke mzigo mezani

    Jibu

    Akiemda Chelsea itakuwa powa sana

    Jibu

Acha ujumbe