Klabu ya Inter Milan ameazimia kumchukua mshambuliaji wa Chelsea, Oliver Giroud katika majira haya ya baridi ya dirisha dogo la usajili barani ulaya.
Uwezekano wa mshambuliaji wa Chelsea Olivier Giroud kuihama klabu hiyo ya london unazidi kua mkubwa baada ya Inter Milan kuonesha nia ya wazi ya kumsajili.
Habari za chini chini zinasema wakala wa Olivier Giroud Yuko kwenye mazungumzo na klabu ya hiyo juu ya uhamisho wa Giroud katika dirisha dogo la usajili mapema mwezi January mwakani.
Wiki chache zilizopita Giroud alinukuliwa akisema yupo na furaha kuendelea kuichezea klabu ya Chelsea endapo atapata nafasi zaidi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, baada ya kufunga magoli 4 dhidi ya Sevilla katika Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!
lombo
saf
Hopemwaikuka
Jembe hiloo
Dorophina
Itakuwa poa giroud akienda inter
Rahma
Nic
Sarah
Safi
Issa
Giroid rekod za kibabe
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii
Ernest
Chelsea wamekiwa wakijiuliza mara mbili mbili juu ya kumuachia Giroud
Janeflora malisa
Safi
Saupha mohamed
Safi
samiah
Gud
Tatu
Safi
warda
Haya sie yetu macho