Kocha mkuu wa Intermilan Simone Inzaghi  amesema malengo yake makuu ni kupata alama 10 kwenye Ligi ya Mabingwa ili kupata nafasi ya kusonga mbele kutoka kwenye kundi hili gumu, huku akifahamu umuhimu wa mechi yao ya leo dhidi ya Viktoria Plzen.

Inzaghi Alenga Alama 10 UEFA

Wakiwa wamepangwa na vinara wa Europe huku Barcelona na Bayern Munich, Inter wanajua kwamba kuchukua pointi kwa kwa mabingwa wa Czech Viktoria Plzen itakuwa na kitu muhimu sana na itawapa matumaini.

Inzaghi na vijana wake walipokea kichapo kikali cha mabao 2-0 kutoka kwa Bayern Munich kwenye mechi yao ya kwanza ya ufunguzi ya michuano hii ya klabu bingwa Ulaya wakiwa wao ndio wenyeji, Lakini wamepoteza mechi mbili tuu za ufunguzi katika kampeni za awali za ligi ya Mabingwa, wakifanya hivyo 2006-07 chini ya Roberto Mancini.

 

Inzaghi Alenga Alama 10 UEFA

Inzaghi alisisitiza umuhimu wa kurejea katika hali ya kukatishwa tamaa siku ya Jumanne huku akitaja kuwa Kundi C kuwa gumu zaidi kwenye mashindano hayo. “Bila shaka, ni mechi muhimu; tunajua tumeishia kwenye kundi gumu zaidi la Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini tunataka kucheza”

Alisema kuwa mechi ya kwanza haikuwa bora na Bayern walikuwa bora sana kuliko wao na wanajua kuwa mchezo wao wa leo unaweza kuwaweka hatarini, Lakini wanataka kukabiliana nao kwa njia bora zaidi.

 

Inzaghi Alenga Alama 10 UEFA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa