Wakati kiungo mshambuliaji wa Simba akipukutisha mwaka bila kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara, Legend kwenye masuala ya michezo Bongo na Kimataifa, Saleh Ally wengi wanamuita Jembe ameweka wazi kuwa hiyo sio kazi ya Kibu kufunga.

Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho Kibu kufunga ilikuwa ni 5/11/2023 kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-5 Yanga.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Kibu alifunga bao hilo dakika ya 9 akitumia pasi ya Said Ntibanzokiza kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindni mkubwa zama za Miguel Gamondi.



