Bosi wa Leicester City anaamini kuwa nyota wake Jarmie Vardy atarejea kuwa kwenye fomu yake nzuri, na kuwa bora zaidi baada ya kumuona akifanya vyema zaidi kwenye mechi dhidi ya Arsenal.

Nyota huyu wa zamani wa Uingereza amefanikiwa kukusanya magoli matano kwenye mechi zake nne zilizopita dhidi ya arsenal, na magoli 11 katika jumla ya mechi 13 za msimu na alikuwa na mwanzo mbaya wa msimu.

Jarmier Vardy

Januari, Vardy alilazimika kufanyiwa upasuaji ambao uliathiri utendaji wake, lakini ni matarajio ya bosi kuwa nyota huyu anarejea kwenye mstari wake.

“Huwa napata salimia 100 kutoka kwa Jamie, mawazo yake yana nguvu na hata asipokuwa mchezoni huwa anakuwa tayari kutumia fursa ambazo humjia karibu yake. Umeona alipotokea benchi (kwenye mechi dhidi ya Arsenal) kwenye kipindi cha mwisho, amefanya vyema sana”

“Tunatarajia atarejea kwenye fomu yake mapema zaidi, lakini hatuwezi kuanisha mda kamili inategemea atakuwa anajisikiaje na namna anavyoweza kurejea kwenye hali yake ya kawaida.”


ENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

Vardy, Jarmie Vardy Atarejea Kuwa Bora Zaidi!, Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa