Hakika umri ni namba tu. Mchezaji wa Rangers, Jermain Defoe ameripotiwa kutokuwa na mpango wa kutundika daluga baada ya msimu huu.

Licha ya kuwa na umri wa miaka 38, Defoe bado anauchu wa kucheza mbele ya mashabiki msimu ujao na huenda akaendelea kubaki klabuni hapo kwa msimu mmoja zaidi.

Mapema wiki hii, kocha wa Rangers, Steven Gerrard aligusia uwepo wa mazungumzo ya kuongeza mkataba wa Jermain Defore klabuni hapo kuanzia msimu ujao.

Kwa mujibu wa Jermain Defoe, lengo lake ni kumaliza msimu huu kwa mafanikio zaidi na mambo mengine yatafuata baada ya msimu huu kumalizika.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Jermain Defoe, Jermain Defoe Hana Mpango wa Kustaafu., Meridianbet

SOMA ZAIDI

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa