Aliyekuwa Rais wa klabu ya Barcelona mwaka 2003-10, Joan Laporta ameshinda nafasi ya kiti cha Urais ndani ya klabu ya hiyo kwa mara ya pili .
Joan Laporta ambaye moja ya sera zake ilikuwa ni kuhakikisha nyota na gwiji wa klabu hiyo Lionel Messi anabaki klabuni humo ameshishinda kwa zaidi ya asilimia 54 ya kura, mwenye umri wa miaka 58 alishinda Victor Font (asilimia 29.99) na Toni Freixa (asilimia 8.58) kupata muhula wake wa pili kwenye uongozi.
Laporta mwenye umri wa miaka 58, alifanikisha usajili wa Ronaldinho Gaucho , na pia alikuwa Rais ambaye alimpa kazi Pep Guardiola , aliwahi kuiongoza Barca kuanzia 2003-2010.
Amechekua nafasi ya Josep Maria Bartomeu ambaye alijiuzulu Oktoba mwaka jana .Victor Font ameshika namba mbili na Toni Freixa namba tatu katika uchaguzi huo.
Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.
Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino za Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.
warda
Wawoo hongera yake
Angelina
Kila la kheri
Neema juma
Hongera yake
Rahma
Safi
Sadick
Anakazi kubwa kumbakisha Messi na kujenga timu upya
Lydia Emmanuel Magoti
Kila la kheri kwake
Hopemwaikuka
Nakutakia kaz njema
Sarah
Kila la kheri