Joao Felix Anataka Kuwa Kama Griezmann

Nyota Joao Felix anasema kuwa yeye anataka kuwa kama Antoine Griezmann chini ya Diego Simeone. Staa huyu anasema yeye hana tatizo na staili ya Simeone pale Atletico Madrid.

Atletico walitumia Euro milioni 120 kukamilisha usajili wa kuvunja rekodi yao ya usajili kuinasa saini ya staa huyu baada ya Griezemann kutimkia Barcelona msimu wa joto uliopita.

Hii ilimfanya Felix kuwa mchezaji wa gharama zaidi kwenye historia ya usajili wa klabu, baada ya kufanikiwa kuwapita baadhi ya klabu kadhaa zilizokuwa zikiiwania saini yake pia.

Mwanzo wake haujawa mzuri sana pale Atletico Madrid, akiwa amefanikiwa kupata magoli 8 tu na kutoa pasi za usaidizi tatu katika mechi 35 alizocheza kwa michuano yote. Licha ya kusumbuliwa na majeraha, anaamini anweza kuwa bora kama Griezmann  klabuni hapo.

Simeone anaamini kuwa staa huyu ataendelea kuwa bora zaidi kadri anavyoendelea kukomaa katika soka. Na anatarajiwa kuwa ataweza kuziba pengo la Griezmann.

“Kama nikiweza kufanya kile alichokifanya Griezmann au kuboesha zaidi, itakuwa poa kwa kuwa ameweza kujijengea historia kubwa na klabu” -Joao Felix


 

Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

36 Komentara

    Mafanikio hayagi kiurahisi ila anachotakiwa ni kukataa buti na atakuwa kuja kama grizman na hata kuwa na mafanikio kumpita huyo grizman

    Jibu

    Joao Felix ni kweli ana ndoto nyingi sana pale Atletico na nina imani atafanikisha kwani bado ana umri mdogo na ni mtaalamu sana kwenye mpira

    Jibu

    Unapokua unataka kutimiza ndoto ambayo unayo sio jambo rahisi Sana ila cha msingi ni kupambana na nidhamu ya hali ya juu.

    Jibu

    Imekuwa kawaida mchezaji muhimu anapoondoa timu husika hukimbilia kutafuta mbadala kwa kuamini atafanya vizuri kama mtangulizi wake jambo ambalo huwa si rahisi. Inaweza kuchukua muda kwa Joao Felix kuziba pengo la Griezmann#meridianbettz

    Jibu

    Sikuzote ukitaka mafanikio lazima uangalie pale unapotaka kufika au zaidi na pia ujitahidi sana na kuwa na tamaa ya kufikisha malengo yako

    Jibu

    Joao Felix hamekua na matokeo mabovu toka haende atletico Madrid akiendelea na matokeo hayo sijui kama hataweza kufikia hayo malengo yake

    Jibu

    Ni Jambo zuri kua na ndoto za kuja kua mchezaji mkubwa Ila nidhamu katika career yako na kujituma kwa juhudi zote mafanikio yatakuja na ndoto zako zitatimia.

    Jibu

    Hii makala imetulia

    Jibu

    Asante kwa taarifa Meridianbet

    Jibu

    Makala imetulia mnoo

    Jibu

    Akiamua hatuna kinachoshindikana

    Jibu

    Inawezekana kikubw juhud, bidii, jitihada na maarifa kila kitu kinawezekana hapo

    Jibu

    Makala safi sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Joao felix unachotakiwa ni kufanya jitihada za kutosha ili utimize ndoto zako hakunakinachoshindikana kwenye hii dunia kila kitu kinawezekana tunakutakia kila la kheri na mafanikio mema

    Jibu

    Apambane tu atafikia anapopataka

    Jibu

    Akiwa na Nia inawezekana

    Jibu

    ataweza sababu kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kukomaa kwenye soka

    Jibu

    Cha msingi Ni kukomaa na anachokitaka mpaka akipate asikate tamaa

    Jibu

    Ni Jambo zuri sanaa

    Jibu

    Kufikia ndoto unazozihitaji Ni Jambo zuri Sana Ila Cha msingi Ni kujituma kwa dhati na nidhamu ya Hali ya juu.

    Jibu

    Apende Sana kazi yake awe na atatimiza ndoto zake

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana akijiwekea malengo

    Jibu

    Kiukwel dogo anajua sana joao Felix Kama atapata timu yenye kocha mzur ambaye ataitambua nafas yake joao n bonge la mchezaj

    Jibu

    Joao Felix ajipange tu kikubwa kujituma na kutazamia msimamo wake asikate tamaa mpaka kufikia malengo lazima atakutana na vikwazo ajikaze tu atamfikia Griezmann

    Jibu

    Nic news

    Jibu

    Makala mazur

    Jibu

    Akaze buti juhudi na maarifa ndio msingi imara wa kupata mafanikio thabiti!!!

    Jibu

    Nice news

    Jibu

    Joao Felix Ameanza vizuri sana safari yake ya soka kama ataongeza juhudi zaidi basi anaweza akawa zaidi ya Griezmann

    Jibu

    Haya sasa felix kazi kwako.

    Jibu

    felix yupo vizuri tu asikate tamaa atafika mbali sana changamoto muhimu sana katika kuyafikia mafanikio

    Jibu

    Joao Felix ni kweli ana ndoto nyingi sana pale Atletico na nina imani atafanikisha kwani bado ana umri mdogo na ni mtaalamu sana kwenye mpira

    Jibu

    Ajibebe tu Atafanikiwa

    Jibu

Acha ujumbe