John Stones Alamba Mkwanja Mrefu City

Baada ya kuwa na msimu mzuri ndani ya Man City na timu ya Taifa ya Uingereza, John Stones ameongezewa mkataba mpya ndani ya Man City.

Stones amepewa kandarasi mpya ya miaka mitano kusalia Etihad Stadium ikiwa ni sambamba na kupewa mshahara wa £250,000 kwa wiki.

John Stones aliitumikia City kwenye michezo 35 msimu uliopita akiisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa EPL na Carabao Cup. Akiwa na timu ya taifa ya Uingereza, Stones aliiongoza vyema timu hiyo kwenye safu ya ulinzi kwenye mashindano ya Euro 2020 ambapo walipoteza mchezo wa fainali.


SHINDA NA TIKI REWARD KASINO

Unaanzaje siku yako bila kuwa na pesa, Meridianbet kupitia kasino zake za mtandaoni inakupa sababu ya kufanya siku yako kuwa njema. Mchezo maarufu wa Tiki Reward unaweza kukufanya milionea. Cheza sasa kibingwa!

Tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe