Jordan Asajiliwa Los Angeles Lakers.

 

Klabu ya Los Angeles Lakers wamesajili rasmi mkongwe DeAndre Jordan kwenye orodha yao, baada ya kutangaza rasmi jana [Alhamisi] usiku.

 

Masharti ya usajili huo hayajatolewa, ingawa jarida la The Athletic iliripoti mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba Jordan anatarajiwa kutia saini mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya $ 2.6m.

Jordan, 33, alichaguliwa kwenye timu ya All-Stars mnamo 2017 akiwa na Los Angeles Clippers na wastani wa alama 9.4, rebound 10.6 na mipira ya kuzuia 1.6 katika misimu 13 na Clippers (2008-18), Dallas Mavericks (2018-19) , New York Knicks (2019) na Brooklyn Nets (2019-21).

Mnamo 2020-21 akiwa na Nets, alipata wastani wa alama 7.5 na rebound 7.5 kwa kila mchezo.

Jordan ndiye kiongozi wa wakati wote wa NBA katika asilimia ya mchango wa shots, akiwa na shots asilimia 67.4 (3527-5234) kutoka uwanjani wakati wote wa taaluma yake na bado ni mchezaji pekee katika historia ya NBA na misimu mingi akishot zaidi ya asilimia 70 kutoka uwanjani.


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

 INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe