Jordan Henderson Nje Mpaka April,2021.

Orodha ya wachezaji majeruhi kwenye klabu ya Liverpool bado inaendelea kushika hatamu. Nahodha wa klabu hiyo – Jordan Henderson, ameongezeka kwenye orodha hiyo.

Liverpool wanaendelea kutaabika kwa kuwakosa baadhi ya wachezaji wao wa muhimu kwenye kikosi cha kwanza. Hadi sasa tayari Virgil van Djik, Joe Gomez, Fabinho na Joel Matip ni majeruhi wa muda mrefu.

Henderson aliumia kwenye mchezo wa EPL dhidi ya Everton wikiendi iliyopita.

Taarifa rasmi kutoka Liverpool imeripoti kuwa, Jordan Henderson ameshafanyiwa upasuaji na sasa atakuwa nje ya uwanja. Hakuna muda sahihi uliopangwa kwa kiungo huyu kurejea uwanjani lakini huenda akarejea baada ya michezo ya kimataifa (Machi 22-31).

Hili ni pigo kwa kocha – Jurgen Klopp ambaye anaendelea kuwakosa mihimili ya timu yake kwenye safu ya ulinzi na kiungo. Nani ataokoa jahazi la Liverpool msimu huu??


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Liverpool inakabiliwa na mtihani mkubwa sana kutetea ubingwa kutokana na kuwa na wachezaji wengi majeruhi

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Habari mbaya

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Daah pole yake

    Jibu

    So sad

    Jibu

    duuuu parefu

    Jibu

Acha ujumbe