Mpango wa Jordi Farre utabuma?
Safari ya Messi kuondoka Barcelona ilionekana tayari imeshaiva, tayari alikuwa anawasukuma Barcelona kukamilisha uhamisho wake kabla hawajaamua kumchomolea kwa kumlazimisha asalie klabuni hapo.
Mgombea uraisi wa Barcelona, Jordi Farre ameweka wazi kuwa ni mpango wake kuhakikisha anamshawishi Lionel Messi kusalia klabuni hapo na kutia wino kwenye mkataba mpya.

Kutokana na hali ya mkataba wa sasa wa Messi, staa huyu atakuwa mchezaji huru mwezi Juni 2020, na hadi kufika mwezi ujao tayari atakuwa na uwezo wa kuanzisha mazungumzo na klabu nyingine yeyote.
Kwa Jordi Farre, anasema ikiwa atafanikiwa kuwa raisi, basi ana wahakikishia mashabiki kuwa ikiwa atafanikiwa kuwa raisi, wasiwe na wasi wasi atahakikisha Messi ni wa hapo hapo kama walivyomzoea, lazima atamwaga wino kwa mara nyingine kuendelea kutoa Burudani Camp Nou.

“Ninafanyia kazi suala hili. Messi na klabu ni sehemu ya klabu, na taswira yake pamoja na Barcelona zinatakiwa kuungana milele. Ni mechezaji bora kwenye historia ya soka, tunapaswa kumpa dili nono.” – Jordi Farre
MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!
Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!
Sadick
Bila Messi itakuwa imara zaidi na zaidi. Kwa sasa Messi amekuwa zaidi ya Klabu
Ester jackson
Mimi nafikiri ajaribu bahati yake kumshawishi
Caroline
Messi anawasumbua kweli
Saupha mohamed
Mess atahama tuuu Barcelona
lombo
messi hana maajabu kwa sasa
Rahma
Messi namkubali
Ernest
Ni jambo gumu sana kwa Messi kusalia Barca hili lipo wazi sana
samiah
Namkubali sanaa Messi
Adelta
Messi Hana jipya bila yeye wanaweza
felister
Messi mtu mbaya
Genia Sikaluzwe
Messi jeshiiii
Fatina mfingi
Mmh tunasubir tuone Kama itawezekena
aisha
Messi kama messi kawa gunzo sana
Hopemwaikuka
Huyo mngemuacha aende tu mabadlko yangekuepo kwenye club
Dorophina
Barca wamekata tamaa wanajiona wao bila Messi basi mafanikio amna wakati sio kweli
Nasra
Mesi kiboko
Neema
Messi sio mtu wa mchezomchezooo
Sarah
Yuko poa messi namkubali sana
Lydia Emmanuel Magoti
Ngoja tuone siokitu laisi Messi kukubali kusalia Barca
Issa
Mess akil yake haipo barca
Khadija
Ajaribu bahati yake ili amshawish
warda
Itakuwa poa sana kama akimshawishi
Tatu
Ajaribu kama atashawishika kuondoka bar
Chiku
Mesi anaga show mbovu