Julio kwa jina la umaarufu au Jamuhuri Kiwelu Kocha msaidizi wa Namungo ambaye pia kwa nyakati tofauti aliwahi kuitumikia klabu simba amesema akiwa kama mchezaji na kama kocha ameelezea uzoefu wake kulingana na ugumu michezo
Wa dabi za kariakoo kati ya simba na yanga jinsi mechi hizoo zinavyokuwa ngumu ndani ya uwanja
Julio
Julio

“Sometimes timu iliyokuwa mbovu inaifunga timu nzuri na timu iliyokuwa nzuri huwa inapoteza hivyo timu iliyojipanga vizuri kulingana na
Karama yake huwa ndo inashinda” Amesema Julio

Aidha Julio asema tension ya mechi za simba na yanga huchangiwa na meneno ya nje ya uwanja “tension yake mechi hizo hukawi kuambiwa mchezaji wa simba au wa yanga umechukua ela kutoka upande mwingine pale mchezaji anapofanya Vibaya” Amesema Jamuhuri Kiwelu

 


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa