Jurgen Klopp Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Ujerumani

Jürgen Klopp ameteuliwa kuwa Kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Ujerumani, akichukua nafasi ya Julian Nagelsmann ambaye aliachia ngazi baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Dunia.

Jurgen Klopp Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Ujerumani

Je unajua kuwa uteuzi wa kocha huyo unamrudisha Klopp kwenye uongozi wa soka la Ujerumani baada ya kujijengea jina kubwa katika ngazi ya klabu, hasa akiwa na Liverpool ambako aliiongoza kutwaa mataji makubwa ikiwamo Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2019 na Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2019/20.

Klopp, ambaye pia aliwahi kuinoa Borussia Dortmund na kushinda mataji mawili ya Bundesliga, anatajwa kuwa kocha mwenye uzoefu mkubwa wa kujenga timu zenye ushindani na kurejesha morali ya wachezaji.

Ujerumani imekuwa ikipitia kipindi kigumu katika mashindano ya kimataifa baada ya kushindwa kufikia viwango vilivyotarajiwa katika Kombe la Dunia la 2018, 2022 na 2026 pamoja na michuano ya Ulaya ya hivi karibuni.

Jurgen Klopp Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Ujerumani

Katika kipindi chake Liverpool, Klopp alijenga kizazi cha wachezaji waliokuwa na mafanikio makubwa wakiwemo Mohamed Salah, Sadio Mané, Virgil van Dijk na Alisson Becker, huku akitengeneza mfumo uliomfanya kuwa mmoja wa makocha wanaoheshimika zaidi duniani.

Je kocha huyo aliyeipa mafanikio Liver ataweza kufikisha wapi Ujerumani msimu huu?.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.