Jurgen Klopp Meneja wa Mwaka LMA

Meneja ya Liverpool, Jurgen Klopp amepewa tuzo ya Meneja wa Chama cha Mameneja wa Ligi (LMA) kama meneja bora wa mwaka.

Klopp alisimamia vyema kampeni ya Liverpool, akiwaongoza kwa rekodi ya jumla ya alama 99 na kuwapatia taji la EPL kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30.

Kwa msimu mzima, Liverpool walipoteza michezo mitatu tu ya Ligi Kuu na kumaliza alama 18 zaidi ya Manchester City walioshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi.

Jurgen Klopp
Jurgen Klopp

Baada ya kuwasilishwa kwa taji lililopewa jina la Sir Alex Ferguson Trophy, likiwa limepewa jina la meneja wa zamani wa zamani wa Manchester United, Klopp alisema:

“Nimefurahia sana kutajwa kuwa mshindi wa tuzo hii ya muhimu ya Sir Alex Ferguson Trophy, iliyopewa jina la mtu kuwa ninampenda sana.”

“Ninahisi hii ni maalum sana kushinda tuzo hii kwa sababu imepigiwa kura na mameneja wenzangu.”

“Ni heshima kuwa katika miongoni mwa mameneja wengi ambao wametajwa kama Meneja wa LMA wa miaka iliopita, wakiwemo wasimamizi wa Liverpool kama Bill Shankly, Bob Paisley, Joe Fagan, Kenny Dalglish na, katika miaka ya hivi karibuni, Brendan Rodgers.”


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

48 Komentara

    Klop ni kocha wa aina yake tokea alipotokea anastahili kua kocha bora tunafaham maajabu yake.

    Jibu

    Anastahili kwa kweli liver kwa pamoja wamejitahidi

    Jibu

    Hongera yake#Meridianbettz

    Jibu

    Pongez kwake asilewe sifa aongezee bidii katika kaz

    Jibu

    anastahili klopp kwa kupewa tuzo iyo

    Jibu

    Hongera Sana klopp ni kocha bora sana

    Jibu

    Ni furaha ilioje kwa kocha kloppa kupata tunzo hiyo yuko hivo tu bila ya kutajwa jina lake he aliye andikwa jina Sir Alex Ferguson Trophy kama tunzo yeye anajisikiaje nifuraha sana kuona bado anasamani sana kwenye timu hiyo .

    Jibu

    Kweli ni kocha mwenye sifa zake

    Jibu

    Jurgen Klopp nikocha mzuri anaejua nn anakifanya kwenye kaz yake nikocha wadizaini yake mpaka kupewa tuzo anastairi kwalicho kifanya Klopp sio kazi laisi kwakweli kapambana zaidi nazaidi akushindwa

    Jibu

    Anastahili pongezi huyu kocha

    Jibu

    Hongera sana klopp

    Jibu

    Klopp ni kocha mzuri na anayejituma kwa maslah ya timu anastahili pongezi

    Jibu

    Namkubali sana Klopp hongera zake

    Jibu

    Big up kwa klopp uko vizuri baba mpaka umekua meneja wa LMA

    Jibu

    Hongera kwake jurgen klopp

    Jibu

    Pongezi zimfikie huko alipo

    Jibu

    Honger kwak

    Jibu

    Pongezi kwa Klopp amestahili baada ya ya mafanikio aliyoyapata kwenye ligi msimu huu

    Jibu

    Klopp anastahili iyo tuzo ongera kwake na timu kwa ujumla

    Jibu

    Kloop mzee wa record

    Jibu

    Klopp kafanya kazi kubwa mpaka kuipatia Liverpool ubingwa ambao waliusaka takribani miaka mingi anastahili kupewa pongezi

    Jibu

    Anastahili kabisa..

    Jibu

    Pongezi Sana kocha klopp ,ulifanya jema Sana after number of years leo Liverpool kuinika kidedea , unastahil pongez

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Klopp anastahili kupata hiyo tunzo ameipandisha sana liver kufika sehemu sahihi

    Jibu

    Ni heshima kuwa katika miongoni mwa mameneja wengi ambao wametajwa kama Meneja wa LMA wa miaka iliopita, wakiwemo wasimamizi wa Liverpool kama Bill Shankly, Bob Paisley, Joe Fagan, Kenny Dalglish na, katika miaka ya hivi karibuni, Brendan Rodgers.”

    Jibu

    duhh kweli klop manager wa mwaka..

    Jibu

    Cool father Klopp

    Jibu

    Ni aki yake kupata hiyo tunzo.

    Jibu

    klopp anastahili tuzo

    Jibu

    Anastahil hii

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Maoni:Hongera kwake

    Jibu

    Akumbuke ligi inaanza soon asilewe ifa

    Jibu

    Mzee wa rekod kopp

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Amestahili kupata hiyo tuzo

    Jibu

    Hongera yake#meridianbettz

    Jibu

    Klopp deserve LMA#meridianbettz

    Jibu

    Klopp anastahili kupata tuzo hiyo

    Jibu

Acha ujumbe