Kocha wa klabu ya Liverpool Jürgen Klopp anaamini kuwa ndio kwanza ameanza kutungeneza ufalme wake kwenye klabu ya hiyo baada ya kuongeza kwake mkataba kunatoa mwanya kwa wachezaji kuweza kufikilia maisha yao ya baadae kwenye klabu hiyo.

Jürgen Klopp amesaini mkataba mpya ambao utamuweka kwenye klabu hiyo hadi mwaka 2026 siku ya alhamisi huku akiwa kwenye kinyanganyiro cha kuweza kushinda makombe manne msimu huu wakati kwenye ligi kuu kukiwa kumekia michezo mitano tu, fainali FA Cup, nusu fainali ligi ya mabingwa ulaya na kombe la Carabao ambalo tayari liko kabatini.

Jürgen Klopp
Jürgen Klopp

“Nadhani ni sehemu nzuri kuwepo au kujiunga, kama sio sehemu kamilifu,” alisema wakati akitoam maamuzi ya kuongeza mkataba Jürgen Klopp. “Dunia ipo kwenye kipindi kigumu, sio tu Uviko-19, ni vita ya Ukraine, na mambo mingine mengi tu, na kisha muhimu kidogo mi usawa wa vilabu vikubwa kuwa na matatizo ya hapa na pale ya fedha na aina mambo kama hayo.

“Tunataka kutoa hisia zetu, tunataka kutoa furaha, tunataka kuwa pamoja na watu wetu, tunataka tuungane kiukweli na tunataka kuwa watu wa tofauti pia kama klabu.

“Tutakaa kwa miaka 20 na tutaangalia nyuma na kutengeneza historia ambayo itakumbukwa kirahisi na kufikilika, wow ilikuwa nzuri.

“Lakini inabidi tufanye sasa, hatuwezi kusubiri kwa miaka 10. nimekuwa hapa kwa muda kidogo, na sio huu mkataba ambao tunakwenda kuangalia na kuondoka, hii ni nzuri, tukae hapa milele kwa sababu watu wanatupenda.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa