Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka wazi mipango yake ya kuingia sokoni na kutafuta kiungo wa kati ili kuongeza nguvu eneo la kiungo ambalo kwa msimu huu limeonekana kuwa na changamoto baada ya kuumia Thiago Alcantara.

Jurgen Klopp, Jurgen Klopp: Tunahitaji Kusajili Kiungo., Meridianbet

Klopp amebainisha hayo alipokuwa akifanya mkutano na waandishi wa habari kuelekea kwenye mchezo wao wa mzunguko wa nne hii leo ambapo watawakaribisha FC Bournemouth katika dimba la Anfield.

Jurgen Klopp, Jurgen Klopp: Tunahitaji Kusajili Kiungo., Meridianbet

“Ni kweli nilisema hatuhitaji kiungo, mlikuwa sahihi ila mimi sikuwa sahihi, sasa tunahitaji kiungo” Alisema Klopp.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa