Juve Wamkataa Arturo Vidal

Ripoti zinasema kuwa klabu ya Juventus wamekataa nafasi ya kumrejesha mshambuliaji wa Barcelona Arturo Vidal katika dili la mabadilishano na Miralem Pjanic.

Kwa mujibu wa Calciomercato, Barcelona walikuwa wanataka kubadilishana wachezaji na Juventus, na walimtoa Vidal ili kumpata Pjanic.

Nyota huyu mwenye miaka 32, alikuwepo Juventus na kufurahia misimu yake minne kati ya mwaka 2011 na 2015. Alishinda taji la ligi na kufikia fainali za Ligi ya Mabingwa akiwa na Juve.

Juve Wamkataa Arturo Vidal
Arturo Vidal Akiwa Juventus 2011-2015

Aliondoka Juventus Julai 2015 na kujiunga na kwenda Bayern Munich, na mwaka 2018 akajiunga na Barcelona. Mkataba wake wa sasa na Barcelona unaisha mwaka 2021.

Hata hivyo, Juve hawajaweza kukubali kurejea kwake, na ripoti zinataja kuwa hiki Kibibi Kizee cha Italia kinaweza kumuachia Pjanic kwa Arthur Melo tu.

Lakini mpaka sasa Arthur hana mpango kabisa wa kuondoka Camp Nou na anadaiwa kuwa hataki hata kubadilisha msimamo wake juu ya hilo. Hataki kabisa kusikia hadithi za kwenda mbali na Messi, anataka kusalia LaLiga.

49 Komentara

    Great player #Meridianbettz

    Jibu

    mambo ni moto

    Jibu

    Abakie tu noucamp

    Jibu

    Pjanic anaweza kusaidia Barca

    Jibu

    Abaki tu na messi uko uko unaweza kujifunza kitu kupitia yeye..!

    Jibu

    Ata Vidal anamchango mkubwa sana barca

    Jibu

    Wamchukue tuu ni mchezaji mahiri sana

    Jibu

    Umri umeshakwenda na kiwango kimepungua

    Jibu

    Abaki tu hapo

    Jibu

    Ni vyema akibaki

    Jibu

    Baki tu hapo.

    Jibu

    Afanye maamuzi sahihi

    Jibu

    Kazi na umri apumzike sasa

    Jibu

    Ni vzr akibaki hapo hapo

    Jibu

    Ashakua mzee huyu jamaa

    Jibu

    Umri wake umeenda sana sidhani km ataweza kutoa msaada ipasavyo akienda barca

    Jibu

    Bora abaki tu umri wenyewe ushamtupa mkono

    Jibu

    Aendele kubaki tu hapo

    Jibu

    Arturo vidal miaka ishaenda soka linamuaga mkono sasa huwezi mlinganisha na huyo dogo ambae bado umri unaruhusu

    Jibu

    meridianbet hamjawai kuboa

    Jibu

    Vidal ni mkongwe mpambanaji anajituma sana hawapo uwanjani

    Jibu

    Amalizie tu Mana kazi na umri

    Jibu

    Vidal kwa juve hapana.! Umri ushaenda.

    Jibu

    Bora abaki tu,maana umri umeenda Sana.

    Jibu

    Umri umeshaenda huyo jamaa

    Jibu

    Sasa hivi Juve wadeal na vijana sasa hawa wazee warudi kucheza kwenye league za mataifa yao huko au waende China kukuza league ya kule

    Jibu

    Vilad umri ushaenda awezi kulingana na dogo ambae damu inachemka

    Jibu

    Bora habaki tu

    Jibu

    Sio mbaya akibakii

    Jibu

    Abaki nou camp thanks meridian bet

    Jibu

    Atulize boli tu aende china

    Jibu

    Abaki tu Barcelona

    Jibu

    Sio mbaya akibaki

    Jibu

    ng’ombe hazeeki maini wamsajili tu

    Jibu

    Bora abaki barcelona

    Jibu

    umri ushaenda huyo jamaa

    Jibu

    Kashazeeka uyo akamalizie uzee katika leage za mataifa

    Jibu

    Abaki tuu hapo hapo

    Jibu

    Akufukuzae hakwambia toka. Vidal atafute malisho pahali pengine #Meridianbettz

    Jibu

    Vidal kwa Sasa kiwango kishaisha na umri ushamtupa mkono

    Jibu

    Bora habaki tuu

    Jibu

    Umri umeshaenda sana

    Jibu

    Kazi na umri abaki tu hapohapo

    Jibu

    Arturo kiwango kimeshuka sana

    Jibu

    Bak tu hakuna namna

    Jibu

    Uzee mwisho chalinze hivyo abaki2

    Jibu

    Abaki tuu

    Jibu

    kila kitu kina mwanzo na mwisho awaachie vijana sasa

    Jibu

    Atapata Pengine

    Jibu

Acha ujumbe