Hatimaye, Junvetus imerejea kwenye top 4 na sasa itacheza kwenye UEFA champions league msimu ujao. Juventus ilihitaji alama 3 tu na kuomba mabaya kwa Napoli na ikafanikiwa.
Baada ya Inter kushinda taji la ligi [Serie A] vita kubwa ilikuwa kwa vilabu vinne chini ya Inter [AC Milan, Atalanta, Juventus na Napoli] kwenye kuwania Top Four ili kushiriki michuano ya Champions League msimu ujao.
Presha ilikuwa kubwa kwa Juventus ambao walikuwa wanakimbizana na Napoli lakini mechi za mwisho ndio zimeamua msimamo wa Top Four huku vijana wa Pirlo wikifanikiwa kuwa ndani.
MSIMAMO SERIE A
1. Inter Milan |38| 91 pts
2. AC Milan |38| 79 pts
3. Atalanta |38| 78 pts
4. Juventus |38| 78 pts
5. Napoli |38| 77 pts
Kilichoikuta Napoli ni kuwa wakati wakihitaji ushindi ili wamalize ndani ya Top Four, wakajikuta wakilazimishwa sare na Hellas Verona. Kabla ya mchezo wa mwisho, Napoli ilikuwa na alama 76, Juve ilikuwa na alama 75! Juve imeshinda 4-1 dhidi Bologna kwenye mchezo wa mwisho.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Nice
Kila la kheri kwao