Juventus Waingia Kwenye Mbio za Kumsajili Aouar.


Klabu ya Juventus imeingia katika mbio za kumsajili kiungo mfaransa Houssem Aouar, 22 kutoka katika klabu ya Lyon.

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya michezo nchini Italia vinasema muwakilishi/Wakala wa mchezaji huyo amefanya mazungumzo na klabu ya Juventus kuhusu uhamisho katika dirisha la majira ya Joto.

 

Aouar amekuwa akihusishwa zaidi na timu mbalimbali ikiwemo Arsenal ya nchini Uingereza, huku mabingwa hao wa Italia wakitaka kumpokonya Gunner tonge mdomoni.

Staa huyo wa Lyon ana mkataba na miamba hao wa ufaransa mpaka mwaka 2023 na klabu hiyo inaweza kutengeneza pesa wakimuuza katika kipindi hichi.


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

11 Komentara

    Juventus wanajipanga vyema

    Jibu

    Juve wanejipanga kipasavyo

    Jibu

    Juve wamepata mchezaji mzuri sana atawafaa

    Jibu

    Kila la kheri Juventus

    Jibu

    Juventus kwa sasa wako vizuri

    Jibu

    Juventus nawakubali sana

    Jibu

    Juventus Kila la kheri

    Jibu

    Anafaaa

    Jibu

    kila la kheri juve

    Jibu

    Juve mchukuen huyu

    Jibu

    Hawawezi mpata

    Jibu

Acha ujumbe