Juventus Wakubaliana na FC Dallas Juu ya Bryan Reynolds

Kwa mujibu wa ripoti kutoka Amerika, Juventus wamekubaliana na dili la $10M na klabu ya FC Dallas kwa ajili ya nyota wake Bryan Reynolds, ambaye anatarajiwa kupelekwa kwa mkopo Cagliari.

 Staa huyu anayecheza nafasi ya ulinzi, anahusishwa pia na vilabu vya Roma, Club Brugge wakati Juventus wakiongoza mbio za kuiwania saini yake.
Juventus Wakubaliana na FC Dallas Juu ya Bryan Reynolds
Reynolds alisaini mkataba mpya na FC Dallas mwezi Septemba ambao ungefika tamati mwaka 2024.

Kinda huyu ana miaka 19 tu, akitokea kwenye akademi ya FC Dallas, na kwa mujibu wa ESPN makubaliano yamefanyika kwa dau la $10m, na Juventus watampeleka nyota huyu chipukizi kutumikia mkopo.

Ripoti zinataja kuwa kwa mujibu wa makubaliano, Cagriali watamchukua nyota huyu kwa mkopo kwa miezi sita.

Hii inakamilisha idadi inayotarajiwa ya wachezaji wa nje ya Ulaya ambao Juventus wanahitaji kuwa nao kwa msimu huu. Jumla ya gharama za uendeshaji inatajwa kuwa €8.5m ikihusisha pia bonasi.


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

18 Komentara

    Juve wambebe

    Jibu

    Wamefanya poa

    Jibu

    Juve wamefanya jambo zuri

    Jibu

    Wamefanya poa

    Jibu

    Juve wamefanya Jambo zuri sana

    Jibu

    Vizuli sana juve

    Jibu

    Sio mbaya

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Juve wamchukue tu kijana yupo vizuri

    Jibu

    Staa huyu anayecheza nafasi ya ulinzi, anahusishwa pia na vilabu vya Roma, Club Brugge wakati Juventus wakiongoza mbio za kuiwania saini yake.

    Jibu

    Safi snaa juve

    Jibu

    Wamefanya poa

    Jibu

    Vizuri sana juve

    Jibu

    Juventus mko vizuri

    Jibu

    Safi sana juve

    Jibu

    Juve sina swali kwako

    Jibu

Acha ujumbe