Juventus Wamalizana na Arthur

Arthur amesaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na JuventusΒ  majira ya joto baada ya kukamilisha vipimo vya afya Turin Jumamosi.

Kiungo huyo wa Brazil amkubali kucheza Barcelona hadi mwisho mwa msimu – ikiwemo michuano ya Champions League mwezi August – kabla kujiunga na Juve msimu ujao.

Arthur alisafiri na kwa ndege kwenda Italia masaa kadhaa baada ya kuingia mbadala katika dakika za mwisho dhidi ya Celta Vigo na alifanya vipimo kwanziaΒ 9.30am to 3.30pm.

Arthur alirejea tena Spain na ataendela na mazoezi na Barca kuelekea mechi dhidi ya Atletico Alhamisi, huku dau lake likitaja ni Β£72.5m lakini bado haijatangazwa rasmi.

Kiungo wa Juventus Miralem Pjanic, ataelekea Barca mwishonio mwa msimu kwa dau linmalokadiriwa kuwa ni Β£60m, pia amekamilisha vipi Turin Jumamosi.

48 Komentara

    Arthur kafanye maajabu uko ugenini

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Ipo poa hii Arthur yupo poa na anafanya vizuri sana kwa kiwanja na Juve ipo tayari kumchukua kiungo huyo maana kama pjanic atasema kwenda Barca bhasi kiungo huyo nyota wa Brazil atatua juventusi na kujihakikishia namba pale Juve ila Barca wajanja kwanini wasinge badilishana for free hao wachezaji

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni juzi Kocha wa Barcelona alisema hajui chochote juu ya kuondoka kwa Arthur sasa leo imedhihirika kwamba anaondoka#meridianbettz

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Kaz kaz arthur

    Jibu

    Juve wamelamba dume..huyo dogo arawasaidia sana#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Wamepata jembe#meridianbett

    Jibu

    Hongera Arthur,nenda kapambane.

    Jibu

    Habar njema sana πŸ‘

    Jibu

    Juve wamecheza kiungo wa maana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Asantee kwa habari

    Jibu

    nakubali

    Jibu

    Daah Barca walikuwa wanakataa kuwa Arthur hatouzwa kwenda Juve, Mpira nao siasa nyingi

    Jibu

    Aisee Juventus ni hatarii uyo dogo ni fundi

    Jibu

    Maoni:Arthur karibu ujekuitumikia juventus mashabiki wanataka kuona kipaj hichoo

    Jibu

    Juventus nihatari huyo dogo ni fundi

    Jibu

    Acha wajiandae vzr kwa msimu ujao kwa maana huu ushaisha

    Jibu

    Bora aende kutafuta maisha Juventus maana inaonekana Barcelona ameshindwa kuendana na mfumo ulipo pale

    Jibu

    Safi Arthur, yupo poa Sana vema akapambane juventus,

    Jibu

    Maoni:yuko vizuri naamini atafanya mambo makubwa

    Jibu

    Ni habari njema

    Jibu

    Arthur karibu sana juventus natumaini unafanya vema sana kwa kushirikiana na wachezaji wenzako na bodi nzima ya club hiyo

    Jibu

    Nihabari jema kwa mashabiki wa Juventus

    Jibu

    Atawasaidia sana dogo yupo vizuri htr

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Duuuu miaka mitano mbona Mingi??#Meridianbettz

    Jibu

    kiungo huyo nyota wa Brazil atatua juventusi na kujihakikishia namba pale Juve ila Barca wajanja kwanini wasinge badilishana for free hao wachezaji

    Jibu

    good news

    Jibu

    Arthur ni mchezaji mzuri naamini atafanya poa huko aendako

    Jibu

    Kila la kheri huko aendako

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    Safi sana dogo anajua

    Jibu

    Big deal kwa juventus

    Jibu

    Kila la kher kaka huko uendako kaka

    Jibu

    Asanten meridian kwa taarifa za kimichezo

    Jibu

    Hapo sas wamepata jembe juve

    Jibu

    Juve wamepata mchezaji mzuri

    Jibu

    Habani njema

    Jibu

    Yuko vzr kijana

    Jibu

    Hongera yaoo juveee

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe