Klabu ya Juventus ya Italia na Paris Saint Germain ya Ufaransa wanaweza kukubaliana kubadilishana wachezaji Icardi na Dybala katika dirisha la uhamisho.

Juventus wanahitaji zaidi dili hilo litakalo muhusisha Dyabala kuelekea upande wa pili liliandika gazeti la CalcioMercato.

 

 Juventus Wamuwinda Icardi, Dyabala Chambo.

Mbadilishano huo unaweza kufanyika katika uhamisho wa majira ya joto, wakati Dyabala na Juve wakishindwa kufikia makubaliano ya mkataba mpya.

Icardi amefanikiwa kufunga magoli 2 katika mechi 9 alizocheza msimu huu, wakati Dybala akiwa hajafunga goli katika mechi 9 msimu huu.

 


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

juventus, Juventus Wamuwinda Icardi, Dyabala Chambo., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa