Klabu ya Juventus ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Arsenal kuhusu kupata saini ya mlinzi wao Gabriel ili aweze kwende kuongeza nguvu kwenye safu ya ulinzi ambayo imeteleleka kwa msimhu huu.

Juventus wanatambua kuwa mlinzi wao wa muda mrefu Giorgio Chiellini, amepanga kuachana na klabu hiyo mwisho wa msimu, na anatarajia kwenda kumalizia soka lake kwenye ligi ya MLS nchini Marekani, kwaiyo majira ya kiangazi klabu ya Juve inahitaji kufanya sajiri ya walinzi wawili kuweza ziba pengo lake.

Juventus

Kwa sasa klabu ya Juventus haifanyi vizuri na inampango wa kufanya maboresho ili iweze kurudi kwenye nafasi za juu, na wanampango wa kuwekeza kwenye usajiri wa wachezaji, kama ilivyotolewa taarifa na Gianluca Di Marzio, Juve wamejizatiti kuhakikisha kuwa wanamapata mlinzi huyo.

Ingawa haitakuwa kazi rahisi kuweza kuishawishi Arsenal, Lakini wameshafungua mazungumzo na klabu hiyo, huku wakitegemea kuwa Arsenal wanavutiwa na baadhi ya wachezaji wao akiwemo Arthur, na ikiwa mazungumzo yatakwenda vizuri basi kuna uwezekano mkubwa wa mabadilishano ya wachezaji.

Juventus wana uhakika wa kumpata mlinzi huyo kwa sababu ya kurudi kwa William Saliba akitokea klabu ya Olympique Marseille majira ya kiangazi na kumfanya Mikel Arteta kuwa na uwanja mpana wa machaguzi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa