Juventus Watinga Fainali ya Coppa Italia

Mabingwa mara tatu Juventus wamefuzu fainali ya Coppa Italia kwa sheria ya goli la ugeniniwalipominyana na Ac Milan baada ya msimu wa mpira wa miguu Italia kurejea.

Baada ya kutoa suhulu ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Februari 13, Juve hawakuweza kupata goli kwenye nusu fainali ya pili iliyochezwa Turin bila mashabiki.

Juventus walifanikiwa kupata penati baada ya mchezaji wa Milan, Ante Rebic kuunawa na kutolewa nje lakini Cristiano Ronaldo alikosa penati hiyo.

Juventus, wakiwa chini ya kocha wa zamani wa Chelsea Maurizio Sarri, watakutana aidha na Inter Milan au Napoli Jumatano kwenye fainali mjini Rome.

Baada ya timu zote mbili kuingia uwanjani kulikuwa na kumbukumbu ya walifariki kwa Virusi vya Corona ikafuatiwa na pongezi kwa watumishi wa afya.

Bila mashabiki uwanjani, kuna wakati mechi ilionekana kama ni mazoezi, lakini wenyiji walikuwa na nafasi kubwa ya kuongoza baada ya kupata penati.

42 Komentara

    Juventus hongera sanaaaaa

    Jibu

    Juventus wako vizur

    Jibu

    👏👏👏

    Jibu

    Juventus Yuko vizuri namkubali

    Jibu

    Mmetisha juve kazeni buti

    Jibu

    Juventus wako vizuri lazma washinde

    Jibu

    Juventus lazima ashinde kwanza cr7 anapata goli 2 hatakama mchezo ulio pita alikosa penat ila lazima washinde

    Jibu

    Juve mko vizuri sana

    Jibu

    Kudadeki juve hongera sana

    Jibu

    Juventus walistahili kushinda ..Asante update za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Kama kawaida cr7 jitahidi tubebe ndoo nakuaminia kwenye sekta iyo kibingwa 💪

    Jibu

    Hongera kwa kufika fainali.

    Jibu

    Pongezi kwa juve…

    Jibu

    Pongez kwao Juventus mapambano yanaendelea

    Jibu

    Hongera yake juve

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Juventus wako vizuri hongera kwao

    Jibu

    Hongera sana juventus

    Jibu

    Hii gemu nilitabir itakuwa ngumu sana n pia itakuwa haina magol kulingana na update za na misimu waliyokutana na ukiangalia juve wanamajerui hivyo nilihisi tu hii gemu itatoka suruhu na haitakuwa na magol mengi

    Jibu

    Hii gemu lazima itakuwa na magoli mengi

    Jibu

    Wanastahir pongez nying

    Jibu

    Juventus bhana

    Jibu

    gemu nilitabir itakuwa ngumu sana n pia itakuwa haina magol ni lijua cr7 hatokuwa kwenye kiwango chake#meridianbettz

    Jibu

    Juve wanabeba ubingwa hapo

    Jibu

    jevu wapo vzr##meridianbettz

    Jibu

    Hongera Juventus.Keep it up

    Jibu

    Kibabe sana sema Juve wanabahati sana.

    Jibu

    Lonaldo kakosa penati duuuh..!hapo kungekua na mashibiki angezomewa

    Jibu

    Hongera kwao Juventus

    Jibu

    Game ilikuwa nzuri ila faida ya goal la ugenini imempeleka juve final

    Jibu

    Juve ndoo Yao mwaka huu ya Coppa Italia na Ronaldo anaonyesha Ni jinsi gani anabahati ya mataji #meridianbettz

    Jibu

    Good news, ila game ilikuwa tafu sana

    Jibu

    Juve baba lao

    Jibu

    Wametinga final kwa mbinde Sana wangeruhusi goli tu wasinge ingia

    Jibu

    Hakanaga mpinzani mkubwa hawa huko maeneo yao! Hongera yao sana.

    Jibu

    Safi sana wamefikia hatua nzuri hongera kwao juve

    Jibu

    Sio mbaya lakini wamesonga mbele

    Jibu

    Pongezi kwa juve kiukweli wameonekana wakipambana mwanzo mwisho na wamestahili kufikia hatua iyo

    Jibu

    sio fainali tu had kombe lao juve tangu wamnunue CR7 mambo yamekuwa bam bam

    Jibu

    Juve wanakuja juu kama radio

    Jibu

    Juve wanajua mpira

    Jibu

    Hatua nzuri mnoo

    Jibu

Acha ujumbe