Kai Havertz Karibu Kutua Chelsea

Kai Havertz anaweza kuwa na uhakika wa kusepa Bayer Leverkusen kutokana na mazungumzo yanayotajwa kuendelea ya dili la pesa kubwa kwenda Chelsea.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 21 aliingia Bundesliga na anaweza kufuata mkondo wa Timo Werner, ambaye aliondoka RB Leipzig mwishoni mwa msimu wa soka wa Ujerumani kuhamia Stamford Bridge.

Ripoti zimedai kuna nia dhabiti kutoka Chelsea ya kumnasa staa huyu lakini Leverkusen wanasimamia msimamo wa ada ya karibu euro 90m kwa Kai Havertz.

Bayer Leverkusen
Kai Havertz

Mwanatimu mwenzake Kai Havertz, bwana Nadiem Amiri alisema wachezaji wa Leverkusen wanamruhusu mshindi aendelee na mishe mishe zake bila kuzungumza zaidi juu ya mazungumzo zaidi ya uhamisho, kwa kuwa bado wanamuhitaji.

“Hatutaki kuzungumzia juu yake kabisa. Katika chumba cha kuvaa tumetulia sana.”

Wachezaji wenzake wa Liverkusen wanampa mda wa kutafakari na kufanya maamuzi mwenyewe bila shinikizo ikiwa uhamisho huo ni wa kweli. Wanaamini yupo katika nafasi ya kufanya maamuzi bora zaidi mwenyewe.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure. Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

ChezaHapa Sasa

47 Komentara

    Asanteh kwa taarifa meridiabet

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa chelsea

    Jibu

    Itakuwa poa sana kai akitua chelsea

    Jibu

    Nahisi Chelsea haijui mapungufu yanayotakiwa kujaziwa ambapo kwasasa inahitaji beki wa kati ,kushoto na golikipa#meridianbettz

    Jibu

    itakua poa kai Kama atakuja chelsea

    Jibu

    Itakuwa bora zaidi

    Jibu

    Kalibu sana Kai havertz

    Jibu

    Wamalizane akafanye kaziii

    Jibu

    Sizani kama kai havertz atakua ni mtu sahihi kwa Chelsea maana timu sasa hvi inaitaji beki wa kati

    Jibu

    Hayo maneno tu tunasubili maamuzi yake

    Jibu

    Karibu sana chelsea#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Itakuwa ni bora said

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Hapo ni sawa kabisa

    Jibu

    Itakua pow sana kai akitua chelsea

    Jibu

    safi sana Kai Havertz nenda chelsea

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Jambo zurii

    Jibu

    Chelsea kumchukuwa Kai Havertz ni jambo zuri ila waongeze walinda mlango kwenye time yao

    Jibu

    Chelsea itakuwa na striking force ya hatari sana

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Itakua bomba sana kai akitua pale chelsea

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    karibu sana chelsea

    Jibu

    Welcome KAI darajan

    Jibu

    Havertz ligi ya epl ni moto

    Jibu

    Karibu chelsea kia

    Jibu

    Habar njema hii

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Xafiii

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Itakua jambo zuri sana kama Chelsea watamchukua

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Ni Jambo jema sana

    Jibu

    Hapa Chelsea wameshalamba dume

    Jibu

    Jambo zuri.

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Itakua poa

    Jibu

    Itakuwa bora zaidi

    Jibu

    Itakuwa imekaa vizuri Sana

    Jibu

    Kai harvest karibu darajani.

    Jibu

    Lampard atafanya kweli

    Jibu

    Jambo Zuri sana

    Jibu

Acha ujumbe