Kitu kinachoshangaza kuhusu timu Kaizer Chiefs ni ukweli licha ya kwamba imekuwa na msimu mbovu Afrika Kusini ikiwemo kufungwa na timu ndogo lakini wameshinda mechi mbili ngumu za kupania.

Msimu huu Kaizer wamewachapa watani zao wa jadi, Orlando Pirates katika pambano la watani wa jadi wa Soweto
kaizerKama haitoshi, Kaizer ndio timu iliharibu rekodi nzuri ya Mamelodi Sundowns ya kucheza bila kufungwa katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini.Hii inaonyesha ni wataalam wa mechi za kupania.
Kaizer vs MamelodiKama waliweza kushinda mechi hizi mbili za kukamia nadhani Simba inabidi wajihadhari hasa kwa kuzingatia kwamba Kaizer wana uwezo mkubwa wa kukamia mechi hii kwa sababu ni mechi ambayo inaweza ghafla kubadilisha msimu wao kutoka kuwa msimu mbaya na kuwa msimu mzuri.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

kaizer, Kaizer Wataalam wa Mechi Ngumu, Meridianbet

CHEZA HAPA

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa