Nyota wa zamani wa Chelsea na Ivory Coast Salomon Kalou (35) anatarajiwa muda wowote kujiunga na mabingwa wa Djibouti, AS Arta Solar 7.
Tetesi hizo zinakuja baada ya kukamilisha mazungumzo na mmiliki wa klabu hiyo Taicun Tommy Tayoro Nyckoss *Bilionea*.
Kwa mujibu wa nahodha wa klabu hiyo, Alexandre Song, amesema kuwa wanalenga kufikia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF msimu ujao wa 2021/2022.
Kalou ataungana na mastaa wa zamani kama Alexandre Song, Dany Nounkeu, Diafra Sakho na Carlos Idriss Kameni.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Kila la kheri kwake
Big deal kwake
Safi sana
Apunzike tena
Kila la kheri kwake
Habari njema kwa mashabik
Kalou
Kila la kheri uko uendapo
Kila la kheri kwake